Unalilia kwenda kwenye kazi za kitumwa hizo rafiki yangu? Anyway bado hujayaona utabadilika baadaeWATU WANA NGEKEWA KWELI, NATAMANI HILO ZARI LINGENIDONDOKEA NIKAENDA ZANGU JWTZ, BAS T
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalilia kwenda kwenye kazi za kitumwa hizo rafiki yangu? Anyway bado hujayaona utabadilika baadaeWATU WANA NGEKEWA KWELI, NATAMANI HILO ZARI LINGENIDONDOKEA NIKAENDA ZANGU JWTZ, BAS T
Ni kweli kuwa Roho Saba ana undugu na YAKI?rapper mwingine pia alitamba kpnd hcho alikuwa anawakilisha Iringa km skoseiofficer ndani ya Jwtz mara ya mwisho tulikua naye Morogoro
SIYO KAZI YA KITUMWA NDUGU YANGU USITAFSIRI VIBAYA JESHI.SIONI UTUMWA WOWOTE KULE, POPOTE NI KAZI TUU MAANA POTE USIPOKUWA UKIONGOZWA NA MKUBWA WAKO, NI LAZIMA UJIONGOZE WEWE MWENYEWE IWE BIASHARA, SERIKALINI, KULIMA N.K LA SIVYO MAISHA YANASHINDIKANA.NAPENDA SANA JWTZ SEMA MZEE BABA KABANA SANA KULE SIKU HIZI, NAPALILIA KWELI KWELI RAFIKI YANGU BAS TUU.Unalilia kwenda kwenye kazi za kitumwa hizo rafiki yangu? Anyway bado hujayaona utabadilika baadae
Pole sana kwa kuwa na nia ya kwenda huko ila mi kazi zote hizo za JWTZ sijui na TISS na kwa mbaali Polisi mi huwa naziona za kitumwa sana.......ila komaa mkuu huenda ukapata nina jamaa zangu walienda huko mpaka leo wanatamani kutoka sema ndo hivyo wakitoka watakuja kula nini mtaaniSIYO KAZI YA KITUMWA NDUGU YANGU USITAFSIRI VIBAYA JESHI.SIONI UTUMWA WOWOTE KULE, POPOTE NI KAZI TUU MAANA POTE USIPOKUWA UKIONGOZWA NA MKUBWA WAKO, NI LAZIMA UJIONGOZE WEWE MWENYEWE IWE BIASHARA, SERIKALINI, KULIMA N.K LA SIVYO MAISHA YANASHINDIKANA.NAPENDA SANA JWTZ SEMA MZEE BABA KABANA SANA KULE SIKU HIZI, NAPALILIA KWELI KWELI RAFIKI YANGU BAS TUU.
Utatapeliwa humu ndugu yangu .
huyo unayemuomba msaada mwenyewe mwanafunzi 😀 😀 😀 😀 .
yko Udom anapambna na hali yake 😀
Yaki huyu jamaa alikuwa anaandika sana nyimbo enzi zake, sijui ilikuwaje akautupa mkono muziki.Ni kweli kuwa Roho Saba ana undugu na YAKI?rapper mwingine pia alitamba kpnd hcho alikuwa anawakilisha Iringa km skosei
Nash mc vipiRoho 7 ni hip hop halisi ! Namkubali sana huyu jamaa yan.Nataman aachie track nyingne kal niinjoy tym yangu dunia hii.
Hata sijui aisee sijui hata atakuwa wapi,,, sema life pia ni kitu kingine ambacho knawafanya watu wachange mwenendo wa maishaYaki huyu jamaa alikuwa anaandika sana nyimbo enzi zake, sijui ilikuwaje akautupa mkono muziki.
Yaki huyu jamaa alikuwa anaandika sana nyimbo enzi zake, sijui ilikuwaje akautupa mkono muziki.
Wote walipotea baada ya producer amba kuamia dar tokea iringa.Ni kweli kuwa Roho Saba ana undugu na YAKI?rapper mwingine pia alitamba kpnd hcho alikuwa anawakilisha Iringa km skosei
Yaki huyu jamaa alikuwa anaandika sana nyimbo enzi zake, sijui ilikuwaje akautupa mkono muziki.
Acha Uongo ww, najua nataman life la mabaka baka sema umekosa opportunity ya kwenda huko pambana na hali yako wacha watu watimize wajibu waoPole sana kwa kuwa na nia ya kwenda huko ila mi kazi zote hizo za JWTZ sijui na TISS na kwa mbaali Polisi mi huwa naziona za kitumwa sana.......ila komaa mkuu huenda ukapata nina jamaa zangu walienda huko mpaka leo wanatamani kutoka sema ndo hivyo wakitoka watakuja kula nini mtaani
Alikua na flow tamu sanaa yakiHata sijui aisee sijui hata atakuwa wapi,,, sema life pia ni kitu kingine ambacho knawafanya watu wachange mwenendo wa maisha
Aisee,,umenikumbusha Farida a.k.a ReeKay,,sikuwa najua km alizaa na Roho Saba thanks kwa info,,,Wote walipotea baada ya producer amba kuamia dar tokea iringa.
Roho 7 alizaa na farida ambaye alikuwa msanii wa tetemesha aliyeingia kwenye game akiwa mdogo sana na wimbo wa pesa.
Yaki akaja kutoa wimbo wa we ni wangu ambao alimshirikisha farida kwenye chorus huku beat ikiwa ya crank from amba
Baadae yaki akatoa ngoma ya rafiki ikifuatiwa na tonight ambayo chorus kaimba amba mwenyewe sauti auto tune
Wasanii walikuwa wanatoka dar wanamfuata amba iringa mfano mheshimiwa temba kwenye ngoma ya maneno, na AY ngoma ya mikono juu, full shangwe hussein machozi, na kwa ajili yako.
Sema akahisi akija dar atamake zaidi kumbe ndo akapotea.
Ila now producer amba anatengeneza gospel ndiye alipika album ya ambone mwasongwe ile yenye nyimbo kama nguvu ya msamaha, kuokoka n.k