Msanii wa hiphop mwanadada Chemical..

Pata details kwanza mkuu

Stereo ndio alitongoza,,,, au ndio mnaandika hivyo huko kwenu?
Mtongozwa na mtongoza yupi anaevunja vunja vidole na kutawaliwa na aibu?!
 
Kiukweli ingawa simfahamu kiundani Chemical, ila anajitahidi sana kuchana,ana ladha flani hivi katika michano yake.Niliambiwa na mtu kua anasoma UD mwaka wa tatu sijui kama ni kweli lakini.
yaaap true dat ...sijuii bro au nani?? wereeva
 
Duuh. Dogo ana sura ngumu balaa
 
Siku nimemuona mlimani city live aisee kidogo nizimie
 
Nampendaga chemical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…