Msanii wa hiphop mwanadada Chemical..

Msanii wa hiphop mwanadada Chemical..

Pata details kwanza mkuu

Stereo ndio alitongoza,,,, au ndio mnaandika hivyo huko kwenu?
Mtongozwa na mtongoza yupi anaevunja vunja vidole na kutawaliwa na aibu?!
 
Kiukweli ingawa simfahamu kiundani Chemical, ila anajitahidi sana kuchana,ana ladha flani hivi katika michano yake.Niliambiwa na mtu kua anasoma UD mwaka wa tatu sijui kama ni kweli lakini.
yaaap true dat ...sijuii bro au nani?? wereeva
 
Binafsi nazikubali kiaina kazi za huyu msanii "Chemical" yuko njema sana kwenye michano,hakika akipata promo ya uhakika atatoboa,(Chibu hebu msaini huyu binti WCB)nimejaribu kumtafuta instagram sijui anatumia jina gani?
baadhi ya ngoma zake ni 'sielewi ft Saprano,iam sorry mama,na ngoma inayo hit sasa hivi ni mary mary'

Ila apunguze u "tomboy" au ndo defence mechanism ili aendelee kuitunza bikira yake?..
Duuh. Dogo ana sura ngumu balaa
 
Siku nimemuona mlimani city live aisee kidogo nizimie
 
Binafsi nazikubali kiaina kazi za huyu msanii "Chemical" yuko njema sana kwenye michano,hakika akipata promo ya uhakika atatoboa,(Chibu hebu msaini huyu binti WCB)nimejaribu kumtafuta instagram sijui anatumia jina gani?
baadhi ya ngoma zake ni 'sielewi ft Saprano,iam sorry mama,na ngoma inayo hit sasa hivi ni mary mary'

Ila apunguze u "tomboy" au ndo defence mechanism ili aendelee kuitunza bikira yake?..
Nampendaga chemical
 
Back
Top Bottom