Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Moto wa milele unamhusu
Anamuimbia shetani
Sio wote wamuitao Bwana Bwana ndio wakristu kweli
Wapo walio wa shetani na wao watamfuata na kumuabudu
Shetani ni malaika aliyemuasi Mungu na kutupwa duniani
Wagalatia bhna mnagawa moto na pepo. Kwani ukitumia kumkumbusha aache dhambi hiyo amrejee Muumba wake utapungukiwa nini? Kiasili na uhalisia binadamu wote duniani tunatenda dhambi ila zinatofautiana tu ukubwa na udogo. Ila bora ni yule mwenye kuiacha dhambi hiyo na kuomba toba kwa Mola