Msanii wa Injili atangaza kushiriki mapenzi ya Jinsia moja

Moto wa milele unamhusu
Anamuimbia shetani
Sio wote wamuitao Bwana Bwana ndio wakristu kweli
Wapo walio wa shetani na wao watamfuata na kumuabudu
Shetani ni malaika aliyemuasi Mungu na kutupwa duniani

Wagalatia bhna mnagawa moto na pepo. Kwani ukitumia kumkumbusha aache dhambi hiyo amrejee Muumba wake utapungukiwa nini? Kiasili na uhalisia binadamu wote duniani tunatenda dhambi ila zinatofautiana tu ukubwa na udogo. Ila bora ni yule mwenye kuiacha dhambi hiyo na kuomba toba kwa Mola
 
hongera kwa yeye kutumia "usanii" angekuwa "muimbaji" asingefanya shughuli ya "usenge"

"usenge" wanaume wanaotumiwa makalio yao na wanaume wengine
 
Kwakweli ata mimi sijui maana ni kizungumkuti
 
Yesu anawataka watu kama hawa,alikuja kuwatafuta waliopotea sio kuwatafuta watakatifu.
Ili mradi tu yupo kanisani kasogea mahali ambapo Yesu ana pitapita basi ipo siku neema ya Yesu atakutana nayo hukohuko.
Akikawia akafia dhambini..basi atahukumiwa kulingana na matendo yake.

Mat 9:11-13

Mafarisayo walipoona, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

Naye aliposikia, aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…