Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Ila alikiba bhana anachekesha sana nimmtu wa sitaki nataka huyu jamaa namfananisha na makonda maana hakuna jambo alilolianzisha kisha akafanikisha kwa asilimia mia.
Hili la tv mpaka leo ni kimya, mofaya ndio sijui hata habari zake ziliishia wapi. Akihojiwa ndio usiseme akiwa anaongea utadhani bilionea. Mara sihitaji walinzi mlinzi wangu ni Mungu lakini baada ya siku 2 unaona yupo na walinzi yaani ni shida tupu
 
TV ipo sema nyinyi watu wa uswahilini hamuwezi kuiona. Acha kubishabisha vitu usivyovijua.
 
Ipo katika kisimbuzi gani hiyo tv yake ni kwa ajili ya team yake au ipo ndani ya nguo za mke wake acha ushabiki maandazi


TV ni kwa ajili ya watu wa Oystersbay, Masaki na Mikocheni tu. Huko Manzese huwezi kuona.
 
Huyu bwana si wanasema ana changamoto kwenye ile ndoa yake changa, sasa mbona bado huku mnamsimanga badala hata ya kumliwaza?
 
IPO kingamuzi gani>?
 
Acha longo longo wewe; miaka zaidi ya 3 imeshapita sasa, raia wanaulizia hiyo tv inapatikana kwenye kisumbusi kipi? Azam, Continental, Ting, Star Times, au kipi hasa?! Au inapatikana DStv?
 
Mkuu kiba hapig show za mchangani ndiomana kafungua tv yake, kuanzia sasa ngoma zote za Mondy, harmonize utaziona live kwenye Alikibatv hahahahaha patamu hapo
😅😆😄😅😂🤣😂😄😅😃😅😂🤣🤣🤣!!! Hili hutokea pale dunia inapogoma kulizunguka jua na kutaka eti jua ndo liizunguke yeye!!!
 
Vip Amina ndo kashaenda tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…