Msanii wa kimataifa Alikiba azindua rasmi Television yake "ALIKIBATV"

Hehehehe siku zote ukiover expect utakua disappointed.... Am sure shardcole huko aliko keshakua red kw hiii issue....... Kiba bado sanaa akazane
 
Tv vepe sasa kwny dstv inapatikana kwny kifurushi gani premium, compact plus au compact [emoji12]
 
Hivo hawa unaowataja kwa mafumbo mbona wenyewe wanadai hawana ugomvi ILA nyie wapambe Nuksi ndo mnatia chumvi na sukari kila kukicha
 
Mkuu kingkiba ni jeshi la mtu mmoja, pia nataka nikujuze tu, Kiba anaanzisha chuo cha mzki kama ilivyo THT, ndiomana kasema mwaka huu ni #NewYearNewKingkiba
Makubwaaaaa, uwiiiiiiiiie yeuwiiiiiiiiiie auwiiiiiiiiiiiiie, kelewiiiiiiiiiiiiie
 

HATER katika ubora wako mwenyewe
 
Hizo ulizozutaja ni online tv, Huwez kuipata dstv au azam, ila hii ya kiba sio Online tv, ni tv kama Cloudz tv, East Africa tv, itv, mtv etc
acha kudanganya hiyo ya kiba sio channel bali itaoneshwa ndan ya tv channel nyingineh cc SIMBA TV etc
 
TCRA ikae mkao wa kula, hawa vijana staha ni zero wataanza kupiga vigodoro kutuharibia vijana wetu.
 
dah!
kudanganywa sawa huwezi kucontrol
ila kujidanganya kuwa unachosema kuandika na kuwaza ni kweli thts a very big tatizo!
ila una moyo aiseeeee
 
Cku iz hiz tv hapa bongo zipo kama buku ivi , mara sadick tv _ayo tv_ cjui upuuz gan tv... Na mimi ninayo ruzyTV..

Hongera sana
Ila tatizo watanzania walijua ni station ya kideo kama vile ITV n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…