Unafikri atakiri kama kafanyiwa kitendo hicho bila kujijua kwa kuwa amepombeka sana na hakumbuki alikuwa na kina nani?Linah amekanusha madai hayo,
Chezea fikra ukasuku weye!LOL!Hivi kuna sanaa inaitwa "kizazi kipya"!???
Naweka bold na erufi kubwa kwa msisitizo..enyi vijana mnaopenda kubaka baka,jiulize vipi mama ako,dada ako,shangazi yako,mke wako akibakwa utajiskiaje...sio tabia nzuri kabisa na haipendezi kama huwezi kuomba ukapewa basi kanunue hata za dada poa,sio kuwabaka dada wa wengine afu ni nja zetu tu wabongo na mikiu yetu plus uswaili tu...mbona kaida sana kuvyaa nguo fupi.binafsi sifuraii nisikiapo dada kabakwa
Kifilo apate yeye, kimuhe muhe na vihele hele mpate nyie, kweli majangaaa, majangaaa!
Sio jambo la kulichekea na kuligeuza utani,dada kaonewa kwa vile tu ni mwanamke.Chukulia mfano mtu wako wa karibu, kalawitiwa na hawa washenzi,akaachwa na kinyesi ukaja kusikia kaokotwa hotelini hajitambui,ungejisikia vipi.Acheni hizo, kisheria hili ni kosa la jinai,na aliyefanya hivi,afai kabisa kwenye jamii,anatakiwa akamalize maisha yake yote jela.Kule ndo atawaambia wafungwa wengine amefikaje.Na watu kama hawa wakifika lupango,wanadharauliwa sana.Sasa iweje nyinyi mnaojiita,ma-great thinker sana,mnachekelea?
ndo kusema aibu kubwa imeenda tht na mkurugenzi wao.
kwa hyo mkuu tigo ya linah imebikriwa
Linah amekanusha madai hayo,
Mfano wewe ufilwe, utasema umefilwa mbele za watu, si utashangaa watu wamejuaje? Mbona sasa alijifungia ndani siku tatu?
Kifilo apate yeye, kimuhe muhe na vihele hele mpate nyie, kweli majangaaa, majangaaa!
Ndiyo maana yake kwani baada ya kufilwa alijifungia ndani kwa siku kadhaa kujitafakari. Hawa wasanii wa fleva bwana, basi tu.