B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Naweka bold na erufi kubwa kwa msisitizo..enyi vijana mnaopenda kubaka baka,jiulize vipi mama ako,dada ako,shangazi yako,mke wako akibakwa utajiskiaje...sio tabia nzuri kabisa na haipendezi kama huwezi kuomba ukapewa basi kanunue hata za dada poa,sio kuwabaka dada wa wengine afu ni nja zetu tu wabongo na mikiu yetu plus uswaili tu...mbona kaida sana kuvyaa nguo fupi.binafsi sifuraii nisikiapo dada kabakwa