Msanii wa kizazi kipya asemekana kufanyiwa kitu mbaya

Msanii wa kizazi kipya asemekana kufanyiwa kitu mbaya

SUBE2021

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
348
Reaction score
101
Msanii wa Kizazi Kipya kwa mujibu wa post za facebook inasemekana amekutwa hotelini anechafuka akidhaniwa kunyweshwa vitu vinavyosadikika ni madawa na kufanyiwa ukatili amewaishwa hosptal. Nwenye habari kamili atujuze.
 
Inasemekana Chumba cha hotel kimekutwa mithil ya msalani.
 
Mungu amsaidie apate kupona na wote walomtendea unyama huo wanaswe
 
Hawa wasanii wanamatatizo gani..!! kama kweli wao ndio kioo cha jamii basi jamii husika iko mashakani..
 
Andikieni habari inayoeleweka bwana,hapa siyo facebook..
 
Kifilo apate yeye, kimuhe muhe na vihele hele mpate nyie, kweli majangaaa, majangaaa!
 
Linah amefilwa, habari ndiyo hiyo.

Cc: Wasanii wa fleva wote
Waziri wa vijana, habari, utamaduni
 
Haishangazi ndo michezo ya mjini siku hizi Kabang,,,Sema hii labda hakuliwa kwa Ridhaa yake.
 
afadhari jamii itaheshimika sasa..... bado wema!
 
Linah amekanusha madai hayo,

Kaka ulitegemea Linah aseme kwenye vyombo vya habari kuwa ni kweli watu wamempakuwa canned kisamvu? Ila atakubali tu iwapo watu watachukuwa kinyesi kilichopatikana eneo la tukio na kupima DNA na kuthibitisha kuwa kinyesi hicho ni cha Linah then wakimuuliza huku wameshikilia DNA results hapo atakuwa hana ujanja lazima akubali kama ni kweli.
 
Msanii wa Kizazi Kipya kwa mujibu wa post za facebook inasemekana amekutwa hotelini anechafuka akidhaniwa kunyweshwa vitu vinavyosadikika ni madawa na kufanyiwa ukatili amewaishwa hosptal. Nwenye habari kamili atujuze.

Hivi kuna sanaa inaitwa "kizazi kipya"!???
 
Back
Top Bottom