MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Kwa kazi hiyo anayofanya? Siku zote tumwona mjini show afanyi Sasa Kenya na Dubai. WCB ulimwengini anafanya show. West Africa ndio kwake. Viti tunaviona. Wewe uliviona wapi? Au ni Kule kujitetea wake Ali kuna eti ajionyeshi... Weee wachana hizo binadamu Lazima kuonyesha ulivyo vyako
Sent using Jamii Forums mobile app
Neyo anatafuta ugomvi tu, huyu mlugaluga mkimyang'anya na cheo cha uking siatabaki na ucindelela tu!?
Baba laooooBaada ya diamond kupost mapokezi aliyopata kigoma msanii legend wa Marekani Neyo na mshindi wa tuzo ya Grammy akakoment nakusema A king period.comment hiyo imewafurahisha watu wengi ikiwemo professor Jay, ecejay na mastaa wengine
sisi kama mashabaiki wa king huwa tunashangaa sana.inakuwaje watu fulani watulazimishe tuone vile wanavyoona wao??Nilichojifunza cheo cha king muziki kinapewa na sisi wafatiliaji wa muziki, sio msanii yeye kama yeye kutumia nguvu kubwa kujiita yeye ndio king wakati hicho cheo hatujampa.
Sipati picha na kwenye muvi kanumba asingefariki tz tungekua mbali mno, ila ndio hivyo tena mungu alimpenda zaidi.
Narudia tena cheo cha mfalme katika sanaa tunakitoa sisi, kuna msanii analazimisha hiki cheo cha ajabu hata watoto wa king kina harmonize wanamkimbiza mchaka mchaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Baba laoooKuna watu watakufa kwa vijiba hapa.
Mondi Baba Laooooooooooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lady Mishil Happy New Year.
🤣🤣🤣mtamuua Kiba kwa presha jamani muacheni[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kiba anahusu nn? Nyieee mbumbumbu polenAli Kiba ana mashabiki wengi na hela nyingi kuliko msanii yeyote Afrika sema tu hapendi show off
Baada ya diamond kupost mapokezi aliyopata kigoma msanii legend wa Marekani Neyo na mshindi wa tuzo ya Grammy akakoment nakusema A king period.comment hiyo imewafurahisha watu wengi ikiwemo professor Jay, ecejay na mastaa wengine
Ahsante mkuu, na kwako piaLady Mishil Happy New Year.
A king period ndio nini?Baada ya diamond kupost mapokezi aliyopata kigoma msanii legend wa Marekani Neyo na mshindi wa tuzo ya Grammy akakoment nakusema A king period.comment hiyo imewafurahisha watu wengi ikiwemo professor Jay, ecejay na mastaa wengine
nyie mashabiki ndio mtakaokufa na pressure, wenzenu wanapambana kutafuta hela, nyie mnapambana kuwashindanisha ni nani mwenye hela/anayependwa🤣🤣🤣mtamuua Kiba kwa presha jamani muacheni😂😂😂
😂😂😂 hujui kuscreen shot!!Me sijui kusceen shot subiri wataalamu waje watapost