Msanii wa Marekani Neyo aguswa na mapokezi makubwa ya diamond kigoma nakumpa cheo Cha uking mond

Msanii wa Marekani Neyo aguswa na mapokezi makubwa ya diamond kigoma nakumpa cheo Cha uking mond

Sarcasm mkuu [emoji3]
Kwa kazi hiyo anayofanya? Siku zote tumwona mjini show afanyi Sasa Kenya na Dubai. WCB ulimwengini anafanya show. West Africa ndio kwake. Viti tunaviona. Wewe uliviona wapi? Au ni Kule kujitetea wake Ali kuna eti ajionyeshi... Weee wachana hizo binadamu Lazima kuonyesha ulivyo vyako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond amejituma sana. Huyo mwingine enzi hizo alikua ana fanya kazi kwa mazoea
 
Nilichojifunza cheo cha king muziki kinapewa na sisi wafatiliaji wa muziki, sio msanii yeye kama yeye kutumia nguvu kubwa kujiita yeye ndio king wakati hicho cheo hatujampa.

Sipati picha na kwenye muvi kanumba asingefariki tz tungekua mbali mno, ila ndio hivyo tena mungu alimpenda zaidi.

Narudia tena cheo cha mfalme katika sanaa tunakitoa sisi, kuna msanii analazimisha hiki cheo cha ajabu hata watoto wa king kina harmonize wanamkimbiza mchaka mchaka[emoji23][emoji23][emoji23]
sisi kama mashabaiki wa king huwa tunashangaa sana.inakuwaje watu fulani watulazimishe tuone vile wanavyoona wao??

yaani mimi nimchague farid kubanda kama mfalme wangu wa rhymes wewe unune kwamba haiwezekani,mimi nina roho ya kichawi[emoji28][emoji28][emoji28].

kwanini huwa hivi hii!!!
kila mtu anayo haki ya kuona vyovyote,kama umeona huyu ni mfalme wako,sisi hatuna uwezo wa kukupangia,shida ni pale unapotaka kutupangia sisi sasa.
 
Back
Top Bottom