Msanii wa Marekani Will Smith, atua jijini Arusha

Nakumbuka mwaka Jana walikuja kundi zima la YMCMB pale mlimani city
 
Hajaja na bendera ya Marekani? sie wa kwetu alienda kunengua akapewa na heshima ya kitaifa.
 
Ni mwimbaji na muigizaji pia
kuna wimbo wake ulivuma sana miaka ya 90 Summer time pia alishaimba na mtoto wa muhamad Ally.anaeitwa tatiyana Ally.
Tatyana Marisol Ali ndo jina lake..

Sio mtoto wa Muhammad Ally ni watu wawili tofauti...
 
Ni mwimbaji na muigizaji pia
kuna wimbo wake ulivuma sana miaka ya 90 Summer time pia alishaimba na mtoto wa muhamad Ally.anaeitwa tatiyana Ally.
napenda movies zake za pursuit of happiness and concarsion
 
Tupia wimbo wake ata mmoja basi wengine hatumfaham namna hiyo

sio mwimbaji ni mwigizaji mkubwa marekani

Nyimbo zake enzi hizo old is gold....
Men in black,
Getting jiggy with it,
Just the two of us
I'm going to Miami,
Wild wild west,
Summertime,
Nod ya head,

Etc etc etc
 
Wakenya walivyo wezi wataiba hizi picha na kusema katua kwao

Niliona facebook wanadanganya Wabogojo Ford mkenya,
Kisa kapostiwa vituko vyake na internet comedian mmarekani. Yani Trump anatakiwa awa ban wakenya badala ya wasudan, mijambazi balaa
 
Kila kizuri wanataka kiwe chao,wezi wezi hata kwenye documentary.
Niliona facebook wanadanganya Wabogojo Ford mkenya,
Kisa kapostiwa vituko vyake na internet comedian mmarekani. Yani Trump anatakiwa awa ban wakenya badala ya wasudan, mijambazi balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…