Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ndio nn?
fu.ck off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fu.ck off
Wananukia fully mahela hela tuNi safari ya kitalii anaenda kutembea Ngorongoro.
![]()
![]()
Welcome to arusha, you're going to arusha.......
Ni mwimbaji na muigizaji piasio mwimbaji ni mwigizaji mkubwa marekani
Sisi ndivyo tulivyoHivi ni kwanini vyombo vya habari huwa havipromot ujio wao hapa Tz?
Hata mie napinda kujua, namkubali sana Jada ile mbaya.Amekuja na Jada?
Tatyana Marisol Ali ndo jina lake..Ni mwimbaji na muigizaji pia
kuna wimbo wake ulivuma sana miaka ya 90 Summer time pia alishaimba na mtoto wa muhamad Ally.anaeitwa tatiyana Ally.
napenda movies zake za pursuit of happiness and concarsionNi mwimbaji na muigizaji pia
kuna wimbo wake ulivuma sana miaka ya 90 Summer time pia alishaimba na mtoto wa muhamad Ally.anaeitwa tatiyana Ally.
Nanananana Nana Nana nanaaa.....Hahaa Get Jiggy With it!
Tupia wimbo wake ata mmoja basi wengine hatumfaham namna hiyo
sio mwimbaji ni mwigizaji mkubwa marekani
Hajaja na bendera ya Marekani? sie wa kwetu alienda kunengua akapewa na heshima ya kitaifa.
Wakenya walivyo wezi wataiba hizi picha na kusema katua kwao
Niliona facebook wanadanganya Wabogojo Ford mkenya,
Kisa kapostiwa vituko vyake na internet comedian mmarekani. Yani Trump anatakiwa awa ban wakenya badala ya wasudan, mijambazi balaa