Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ni safari ya kitalii anaenda kutembea Ngorongoro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo realationship yao na Jada eti ni open relationship.Amekuja na Jada?
Naona kamshikia mtu kofia huenda ni ya Jada,Amekuja na Jada?
Wenyewe wali admit au ni story tu? Ila inataka moyoHiyo realationship yao na Jada eti ni open relationship.
Tupia wimbo wake ata mmoja basi wengine hatumfaham namna hiyoNi safari ya kitalii
![]()
![]()
Google Will SmithTupia wimbo wake ata mmoja basi wengine hatumfaham namna hiyo
Wameadimit, walishafumaniana lakini waliona kuachana italeta usumbufu kwenye biashara zao.Wenyewe wali admit au ni story tu? Ila inataka moyo