Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 745
- 395
sio mwimbaji ni mwigizaji mkubwa marekaniTupia wimbo wake ata mmoja basi wengine hatumfaham namna hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio mwimbaji ni mwigizaji mkubwa marekaniTupia wimbo wake ata mmoja basi wengine hatumfaham namna hiyo
Duhh we jamaa upo kolomije😀 natania, najamaa amemba sana enzi hizo, alikuwa kwenye ucheshi ila sasa yupo sana kwenye Movie.Tupia wimbo wake ata mmoja basi wengine hatumfaham namna hiyo
hata kipindi obama amefika , rikirosee alifika arusha safari zao ziliongozana tu joji bushi..Hawa mastar wa Marekani huwa wanakuja sana Arusha. Sema wengi hawapendi kujulikana.
Mwaka juzi Chuck Norris alifika pia akaenda mpaka Ngorongoro.
Smith mwenyewe alisema na kuwa ndio kinachofanya mpk sasa hawajatengana...open rshipWenyewe wali admit au ni story tu? Ila inataka moyo
Ni mwimbaji ma muigizaji. Tafuta song swtich etcsio mwimbaji ni mwigizaji mkubwa marekani
tunaangalia kinachompa umaarufu zaidi, so jibu raisi ni mwigizaji, maana ndiko anakopiga sana pesa nyingi, ukiachilia uandishi wa nyimbo na kuimba etc. kwani ujui kuwa hata Rais wa uganda ni mwimbaji?Ni mwimbaji ma muigizaji. Tafuta song swtich etc
Au utaskia kua msanii wa kikuyu atua nairobiWakenya walivyo wezi wataiba hizi picha na kusema katua kwao
Au utaskia kua msanii wa kikuyu atua nairobi
Vyombo vyenyewe vya habr kam vip labda. Wao wako buzy na kumsifia mkuluHivi ni kwanini vyombo vya habari huwa havipromot ujio wao hapa Tz?
Mtamlipa?Tumieni fursa hii ya yeye kuja kuitangazia dunia kuwa jamaa yupo au alikuja Tanzania kutaliiatumike kutangaza utalii Tanzania
Ni mwimbaji wa nyimbo za rap pia. Ana albam kama mbili na moja ya wimbo maarufu ni " get jig wit it"sio mwimbaji ni mwigizaji mkubwa marekani
Will pamoja na Captain Didas
Wakenya walivyo wezi wataiba hizi picha na kusema katua kwao