hehehe dude u knw real shit aiseeI like the dude,
Kuna baadhi ya wasanii wanakuwepo duniani kwa ajili ya kusikiizwa na watu fulani tu,
Pia uzuri mmoja hawana hata ndoto za kuwa maarufu na kusikilizwa au kuuza kwa kila mtu kama Diamond, wanaamini wanachokifanya.
Na hii ni sababu ya playlist yangu kusheheni nyimbo za Mos Def, Talib Kweli, pharaoh Monch n.k
Wengine tunao waelewa tunanunua tu mfano mimi nina albam y uyo one inaitwa SOGA ZA MZAWA ndani yake kuna nyimbo kama KESHO YETU, SALAM na SOGA ZA MZAWA yenyewe ni nzuri sana maana anaelezea vitu sensitive sanaNgumu hazina show sina uhakika kama zinauza
Mkuu tangu nianze kuskiliza hiphop ya Tanzania sijawahi kuskia wimbo wenye ujumbe kama KESHO YETU, hapa hakika nilimuelewa sana one. This guy simply the geniusWengine tunao waelewa tunanunua tu mfano mimi nina albam y uyo one inaitwa SOGA ZA MZAWA ndani yake kuna nyimbo kama KESHO YETU, SALAM na SOGA ZA MZAWA yenyewe ni nzuri sana maana anaelezea vitu sensitive sana
Nikweli kabisa kwenye ile albam huwa naisikiliza sana na ile MTUMWAMkuu tangu nianze kuskiliza hiphop ya Tanzania sijawahi kuskia wimbo wenye ujumbe kama KESHO YETU, hapa hakika nilimuelewa sana one. This guy simply the genius