Msanii wa miondoko ya hiphop Tanzania,one the incredible awakalibisha kwenye birthday yake

Msanii wa miondoko ya hiphop Tanzania,one the incredible awakalibisha kwenye birthday yake

I like the dude,
Kuna baadhi ya wasanii wanakuwepo duniani kwa ajili ya kusikiizwa na watu fulani tu,
Pia uzuri mmoja hawana hata ndoto za kuwa maarufu na kusikilizwa au kuuza kwa kila mtu kama Diamond, wanaamini wanachokifanya.
Na hii ni sababu ya playlist yangu kusheheni nyimbo za Mos Def, Talib Kweli, pharaoh Monch n.k
hehehe dude u knw real shit aisee
mos def,sean price
 
Hivi hawa ma underground wanaishi wapi?? Mbona wapo kama watoto wa mtaani/ chokoraa
 
Wengine tunao waelewa tunanunua tu mfano mimi nina albam y uyo one inaitwa SOGA ZA MZAWA ndani yake kuna nyimbo kama KESHO YETU, SALAM na SOGA ZA MZAWA yenyewe ni nzuri sana maana anaelezea vitu sensitive sana
Mkuu tangu nianze kuskiliza hiphop ya Tanzania sijawahi kuskia wimbo wenye ujumbe kama KESHO YETU, hapa hakika nilimuelewa sana one. This guy simply the genius
 
Dude and his clique have been on Weusi's dciks for a minute now. It's pathetic keep taking shots at those who seem not to notice you. Them dudes been fukcing the crib too much, they need a new hobby now.
 
Back
Top Bottom