sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
Salam ndugu wanaMMU,
Habari zimeenezwa kupitia vyombo vya habari kuwa Shilole azua utata baada ya kucheza utupu wakati anapiga show huko Ubelgiji, ndipo nikaona nije na habari hii kama sehemu ya kuanzia.
Hii tabia ya dada zetu kucheza nusu uchi na wakati mwingine kucheza utupu, wengine kutembea nusu uchi barabarani, kimaadili siyo tabia njema. Sasa tuje katika ukweli na uhalisia, maana hawafanyi wala haitokei kwa bahati mbaya.
Kina dada wakati mwingine na wamama wakazi wa Dar wamekithiri kwa tabia hii hasa kwenye kumbi za starehe, burudani, hata mitaani. Wengine wanaboost maziwa, wengine makalio, wengine wanapiga piga picha wanasambaza!
Tumtumie huyu Shilole kama mfano tujadili tatizo ni nini?
Karibu