Msanii wa muziki Shilole acheza utupu huko Ubelgiji na kuzua kizaazaa

kwa hiyo....waambie dada zako,this is a free country na huo ndio utamaduni wa mwafrica waangalie bush man wanavaa nini,nyie ndio mnaoiga western and eastern cultures na abrahamic religion kufunika mwili mzima wakati sie waafrica tulikuwa tunajiachia pumbu nje na wadada chuchu na makalio nje...tafakari
 
achana na mastaa wewe ni technique ya kupata pesa na huko ugenini ndo fulu kujiachia. fanya ivo nawe uone utapata nini
 
Mbona ni mambo yakawaida kuvaa hivyo. Acha umbea mkuu. Aliepiga picha ndio mjinga.
 
Tatizo wakati mwingine tumekuwa vidaka tonge. Tujiulize hivi Dada Shilole a.k.a Shishi baby kwa kuonyesha maumbile yake anamuumiza nani au jamii inaathirikaje na Hilo. Huko Ubelgiji sheria zao zinasemaje kuhusu mtu "kujiachia". Kama yupo na amani moyoni "peace in mind" na bado hajafanya jinai tunamhukumu kwa lipi? Tunashindwa kusimamia mambo ya msingi yenye kuiumiza jamii tunakaa kuwasakama "wanyonge" kina Shishi. Nothing is good or bad but your thinking make it so.
 
kwa hiyo....waambie dada zako,this is a free country na huo ndio utamaduni wa mwafrica waangalie bush man wanavaa nini,nyie ndio mnaoiga western and eastern cultures na abrahamic religion kufunika mwili mzima wakati sie waafrica tulikuwa tunajiachia pumbu nje na wadada chuchu na makalio nje...tafakari

ili iweje?
 
achana na mastaa wewe ni technique ya kupata pesa na huko ugenini ndo fulu kujiachia. fanya ivo nawe uone utapata nini

nchi za watu wana sharia zao, atakuja kupigwa kombora kama yule waziri wa ulinzi wa korea ya kaskazini
 
Tatizo wakati mwingine tumekuwa vidaka tonge. Tujiulize hivi Dada Shilole a.k.a Shishi baby kwa kuonyesha maumbile yake anamuumiza nani au jamii inaathirikaje na Hilo. Huko Ubelgiji sheria zao zinasemaje kuhusu mtu "kujiachia". Kama yupo na amani moyoni "peace in mind" na bado hajafanya jinai tunamhukumu kwa lipi? Tunashindwa kusimamia mambo ya msingi yenye kuiumiza jamii tunakaa kuwasakama "wanyonge" kina Shishi. Nothing is good or bad but your thinking make it so.

umeandika kwa kirefu ila hamna cha maana umeandika. Kwanini na wewe usionyeshe uchi wako watu wauone? Maadili huna uone hadharani sehemu za siri ambazo si za mwenza wako? Kwanini zikaitwa za siri then udisplay?
 
Hiyo picha yake hapo juu kweli amekaa vibaya :A S 114:
 
umeandika kwa kirefu ila hamna cha maana umeandika. Kwanini na wewe usionyeshe uchi wako watu wauone? Maadili huna uone hadharani sehemu za siri ambazo si za mwenza wako? Kwanini zikaitwa za siri then udisplay?
Acha unafiki. Kwa nini watz tunakuwa wanafiki? Kwa takwimu zilizopo kwenye taasisi husika watz milioni moja na nusu kila siku hutembelea mitandao ya "kikubwa". Tuna maadili gani kama kila siku tunaua albino & vikongwe. Hayo maadili ni yepi ktk nchi ya wala rushwa kutoka mahakamani hadi hospitalini. Maadili yepi unayomaanisha katika nchi ambayo katika kila wanawake 3 mwanamke 1 anajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile. Nionyeshe maadili yaliyopo ktk jamii yetu.
 
Salam ndugu wanaMMU,
Habari zimeenezwa kupitia vyombo vya habari kuwa Shilole azua utata baada ya kucheza utupu wakati anapiga show huko Ubelgiji, ndipo nikaona nije na habari hii kama sehemu ya kuanzia.

Hii tabia ya dada zetu kucheza nusu uchi na wakati mwingine kucheza utupu, wengine kutembea nusu uchi barabarani, kimaadili siyo tabia njema. Sasa tuje katika ukweli na uhalisia, maana hawafanyi wala haitokei kwa bahati mbaya.

Kina dada wakati mwingine na wamama wakazi wa Dar wamekithiri kwa tabia hii hasa kwenye kumbi za starehe, burudani, hata mitaani. Wengine wanaboost maziwa, wengine makalio, wengine wanapiga piga picha wanasambaza!

TUMTUMIE HUYU SHILOLE KAMA MFANO TUJADILI TATIZO NI NINI? KARIBU.

the fact is not what you know..its what you can prove

tuwekee uthibitisho na kama huwezi peleka habari kama hizi kwenye vijiwe vya kahawa wanakojua kikwete na mke wake wameongea nini asubuhi ya leo
 
nyc asante sana.
 
Huyo UCHEBE namuhurumia SN,,, huyo SHILOLE kila anapoenda kutumbuiza lazima ALALE na WABONGO huko,,,, alishakuja SOUTH AFRICA,, kalala na jamaa yngu NYUMBA MOJA na Mimi,,,, kibaya zaidi Hata mm nilisharuka nae hapa bongo,,,, Akanisahau,,, Kama nilisharuka nae...
 
Back
Top Bottom