Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kozi nyingine yaani ukijumlisha Bachelor mpaka PhD hazifiki miaka hata mitano.
Hakika Mkuu Ila Mpaka Mimi Nilipo, Nimesoma Miaka mi4 ya LLB+2 ya LLM+1 Wa Law School, Jumla Nimesoma Miaka 7 mpaka Sasa Bado najiaandaa Kusoma PhD, Daaah Hatari SanaNa ndizo kozi zenye maisha . Huku hazina jasho kuzisoma.. unasoma huku unakula bia daily na kwenda kwenye show za nyimbo kama dada hapo... na scholarship unapata scotland..
Hiyo kozi ya Chemical ina maisha?Na ndizo kozi zenye maisha . Huku hazina jasho kuzisoma.. unasoma huku unakula bia daily na kwenda kwenye show za nyimbo kama dada hapo... na scholarship unapata scotland..
Wa Kwetu Tunasoma then Maisha yanakuja badaeHiyo kozi ya Chemical ina maisha ?
Kozi za kina Nikki wa Pili, Development studies zina maisha ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kozi nyingine yaani ukijumlisha Bachelor mpaka PhD hazifiki miaka hata mitano.
Maajabu ni kwamba hata kutengeneza laki 3 kwa siku huwezi na elimu yote hiyo. What a waste of time!Hakika Mkuu Ila Mpaka Mimi Nilipo, Nimesoma Miaka mi4 ya LLB+2 ya LLM+1 Wa Law School, Jumla Nimesoma Miaka 7 mpaka Sasa Bado najiaandaa Kusoma PhD, Daaah Hatari Sana
Maajabu ni kwamba hata kutengeneza laki 3 kwa siku huwezi na elimu yote hiyo. What a waste of time!
Hiyo masters amiepata mlimani cityWakuu Msanii wa muziki wa hip hop kwenye muziki wa Bongo Fleva, Chemical wiki hii amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management ambapo hatua hiyo imemfanya kupata 'Scolaship' ya kwenda kusoma PHD nchini Scotland katika chuo ambacho amesoma Prince Harry.
Rapper huyo amemshukuru mwalimu wake Chumbaki kutoka mradi wa Urithiwetu aliyenisimamia mpaka nikafanikisha vyote hivyo.
Course zenye maisha?.....[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]wakwambie ukweli wenyewe?,au wakuache tu?Na ndizo kozi zenye maisha . Huku hazina jasho kuzisoma.. unasoma huku unakula bia daily na kwenda kwenye show za nyimbo kama dada hapo... na scholarship unapata scotland..
Laki tatu yote hio,kwa siku?.....hata mwezi kwa hio course hutoboiMaajabu ni kwamba hata kutengeneza laki 3 kwa siku huwezi na elimu yote hiyo. What a waste of time!
Huwa hamna kazi za kufanya?Hakika Mkuu Ila Mpaka Mimi Nilipo, Nimesoma Miaka mi4 ya LLB+2 ya LLM+1 Wa Law School, Jumla Nimesoma Miaka 7 mpaka Sasa Bado najiaandaa Kusoma PhD, Daaah Hatari Sana
jina la course aliyosoma linanikumbusha dada mmoja wa udom aliyetunukiwa phd baada ya kufanya utafiti wa ngoma za asili za tz.Wakuu Msanii wa muziki wa hip hop kwenye muziki wa Bongo Fleva, Chemical wiki hii amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management ambapo hatua hiyo imemfanya kupata 'Scolaship' ya kwenda kusoma PHD nchini Scotland katika chuo ambacho amesoma Prince Harry.
Rapper huyo amemshukuru mwalimu wake Chumbaki kutoka mradi wa Urithiwetu aliyenisimamia mpaka nikafanikisha vyote hivyo.
Kwani hiyo ajira rasmi si kutengeneza...mean kama mtu analipwa 3M kwa mwezi maanayake si katengeneza 100K kwasiku au hii ajira rasmi uliitafsiri vipi ??Laki 3 yote hiyo.. wasomi asilimia kubwa hatuwezi hata kutengeneza 20,000 kwa siku. Tukiwa nje ya ajira rasmi... mishahara na maposho ya kwenye ajira yanatubeba sana
Hakika Mkuu Ila Mpaka Mimi Nilipo, Nimesoma Miaka mi4 ya LLB+2 ya LLM+1 Wa Law School, Jumla Nimesoma Miaka 7 mpaka Sasa Bado najiaandaa Kusoma PhD, Daaah Hatari Sana