Msanii wa muziki wa hip hop(Chemical) amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Msanii wa muziki wa hip hop kwenye muziki wa Bongo Fleva, Chemical wiki hii amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management ambapo hatua hiyo imemfanya kupata 'Scolaship' ya kwenda kusoma PHD nchini Scotland katika chuo ambacho amesoma Prince Harry.

Rapper huyo amemshukuru mwalimu wake Chumbaki kutoka mradi wa Urithiwetu aliyenisimamia mpaka nikafanikisha vyote hivyo.

Screenshot_20210530-171922.jpg
 
Na ndizo kozi zenye maisha . Huku hazina jasho kuzisoma.. unasoma huku unakula bia daily na kwenda kwenye show za nyimbo kama dada hapo... na scholarship unapata scotland..
Hakika Mkuu Ila Mpaka Mimi Nilipo, Nimesoma Miaka mi4 ya LLB+2 ya LLM+1 Wa Law School, Jumla Nimesoma Miaka 7 mpaka Sasa Bado najiaandaa Kusoma PhD, Daaah Hatari Sana
 
Hiyo masters amiepata mlimani city
 
Na ndizo kozi zenye maisha . Huku hazina jasho kuzisoma.. unasoma huku unakula bia daily na kwenda kwenye show za nyimbo kama dada hapo... na scholarship unapata scotland..
Course zenye maisha?.....[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]wakwambie ukweli wenyewe?,au wakuache tu?
 
Wakuu Msanii wa muziki wa hip hop kwenye muziki wa Bongo Fleva, Chemical wiki hii amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management ambapo hatua hiyo imemfanya kupata 'Scolaship' ya kwenda kusoma PHD nchini Scotland katika chuo ambacho amesoma Prince Harry.

Rapper huyo amemshukuru mwalimu wake Chumbaki kutoka mradi wa Urithiwetu aliyenisimamia mpaka nikafanikisha vyote hivyo.

jina la course aliyosoma linanikumbusha dada mmoja wa udom aliyetunukiwa phd baada ya kufanya utafiti wa ngoma za asili za tz.

wakati anaenda kutunukiwa cheti chake akawa anacheza ngoma za asili.

hongera kwake.
 
Laki 3 yote hiyo.. wasomi asilimia kubwa hatuwezi hata kutengeneza 20,000 kwa siku. Tukiwa nje ya ajira rasmi... mishahara na maposho ya kwenye ajira yanatubeba sana
Kwani hiyo ajira rasmi si kutengeneza...mean kama mtu analipwa 3M kwa mwezi maanayake si katengeneza 100K kwasiku au hii ajira rasmi uliitafsiri vipi ??
 
Hakika Mkuu Ila Mpaka Mimi Nilipo, Nimesoma Miaka mi4 ya LLB+2 ya LLM+1 Wa Law School, Jumla Nimesoma Miaka 7 mpaka Sasa Bado najiaandaa Kusoma PhD, Daaah Hatari Sana

Basi wewe utakuwa lawyer na wakili hovyo kabisa! Utasababishia kampuni hasara kubwa na kushindwa kesi tu!
Kwa hiyo miaka uliyosoma law, ulishindwaje hata kung'amua na kujibu hili swali uliloleta humu!? Othewise wewe utakuwa kanjanja tu!
 
Back
Top Bottom