jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Alafu unakuta hata kesi za kuku hujawahi endesha?Hakika Mkuu Ila Mpaka Mimi Nilipo, Nimesoma Miaka mi4 ya LLB+2 ya LLM+1 Wa Law School, Jumla Nimesoma Miaka 7 mpaka Sasa Bado najiaandaa Kusoma PhD, Daaah Hatari Sana
Alafu unakuta hata kesi za kuku hujawahi endesha?Hakika Mkuu Ila Mpaka Mimi Nilipo, Nimesoma Miaka mi4 ya LLB+2 ya LLM+1 Wa Law School, Jumla Nimesoma Miaka 7 mpaka Sasa Bado najiaandaa Kusoma PhD, Daaah Hatari Sana
Hiyo masters amiepata mlimani city
Sorry mkuu naomba nieleze kuhusu hii course maana natarajia kuingia chuo mwez wa 11Hiyo kozi ya Chemical ina maisha?
Kozi za kina Nikki wa Pili, Development studies zina maisha?
vijana wa siku hizi mnayumba sana,unamaliza form6 hujui hata ABC za kozi au hujui hata ukasome kitu gani? Kasome Industrial psychology.Sorry mkuu naomba nieleze kuhusu hii course maana natarajia kuingia chuo mwez wa 11
Huyo kasoma udsmHongera sana ngoja na mimi nianze na Certificate Upendo Vocation Training center ,Kisha Diploma Eagle Wing College ,Kisha Degree Njuweni then nakula Masters Tandabui.
Mkuu Jitahidi kuelewa course aliyoisoma vizuri kabla ya kumjudge. Ndio yeye ni mwanamuziki na kozi aliyoisoma ina components ambazo unawezazicombine na kozi nyingine na kufanya study yako... mf. namna ya uhifadhi wa intangible resources (Intangible heritage management) katika hizo intangible resourses zimo ngoma, muziki, hadithi za zamani e.t.c. so wigo wa studies katika eneo hili ni mpana sana mkuu. Au jinsi gani ya kuutumia muziki wa kizazi cha sasa kupromote tamaduni za zamani badala ya kuwa na nyimbo za mapenzi tu kila kukicha.........Anajiita Chemical alafu anasoma arts [emoji3]
niechangamsha tu uzi mkuu sijamaanisha kaa utani tuMkuu Jitahidi kuelewa course aliyoisoma vizuri kabla ya kumjudge. Ndio yeye ni mwanamuziki na kozi aliyoisoma ina components ambazo unawezazicombine na kozi nyingine na kufanya study yako... mf. namna ya uhifadhi wa intangible resources (Intangible heritage management) katika hizo intangible resourses zimo ngoma, muziki, hadithi za zamani e.t.c. so wigo wa studies katika eneo hili ni mpana sana mkuu. Au jinsi gani ya kuutumia muziki wa kizazi cha sasa kupromote tamaduni za zamani badala ya kuwa na nyimbo za mapenzi tu kila kukicha.........
Hhahah you got me there then.niechangamsha tu uzi mkuu sijamaanisha kaa utani tu
Muziki ni biashara, watu wanaingiza sokoni bidhaa inayouzika.Mkuu Jitahidi kuelewa course aliyoisoma vizuri kabla ya kumjudge. Ndio yeye ni mwanamuziki na kozi aliyoisoma ina components ambazo unawezazicombine na kozi nyingine na kufanya study yako... mf. namna ya uhifadhi wa intangible resources (Intangible heritage management) katika hizo intangible resourses zimo ngoma, muziki, hadithi za zamani e.t.c. so wigo wa studies katika eneo hili ni mpana sana mkuu. Au jinsi gani ya kuutumia muziki wa kizazi cha sasa kupromote tamaduni za zamani badala ya kuwa na nyimbo za mapenzi tu kila kukicha.........
Ni sawa usemavyo Mkuu.. je unadhani wote wanapenda mapenzi? Je ulishawahijiuliza mtu anafanyaje kushawishi watu wapende muziki wake? Kwa wapenzi wa kupenda rege au hippop mtunzi wa kwanza kuanzisha hiyo style alilipata wapi soko? You never know mtunzi anajipangaje Mkuu ... singeli soko lake lilianzia wapi?Muziki ni biashara, watu wanaingiza sokoni bidhaa inayouzika.
Huwezi kutengeneza bidhaa ambayo watu hawana interest nayo halafu ukaanza kuwalazimisha watu wanunue.
Mkuu kuna biashara ya Muziki na sifa za 'wana'Ni sawa usemavyo Mkuu.. je unadhani wote wanapenda mapenzi? Je ulishawahijiuliza mtu anafanyaje kushawishi watu wapende muziki wake? Kwa wapenzi wa kupenda rege au hippop mtunzi wa kwanza kuanzisha hiyo style alilipata wapi soko? You never know mtunzi anajipangaje Mkuu ... singeli soko lake lilianzia wapi?
Mwisho wa siku hiyo elimu ( maarifa ) inatakiwa kukusaidia kumudu maisha.Ukisoma ili upate pesa. Utachelewa sana kupata pesa. Watu wanasoma ili kuongeza elimu (maarifa).
Mwisho wa siku hiyo elimu ( maarifa ) inatakiwa kukusaidia kumudu maisha.
Elimu ( maarifa ) ni uwekezaji. Lazima return on investment ( ROI ) iwepo kuepuka hasara. Hata hayo maarifa huyapati bure.
Huwezi kutafuta maarifa halafu ubaki kuwa mzigo kwa mtu.
Tofautisha elimu na kipaji. Kipaji kinakaa hata kwa chizi.Ulichosomea haimaniishi ndicho utakitumia kutafutia pesa (kuajiriwa).
Zuchu ana elimu gani? Lakini sasa ni balozi wa CRDB. Wewe uliyekomaa na Economics huwezi hata kumfikia pesa alizonazo Zuchu.
Maisha yanaenda kwa kasi sana. Tusikariri maisha.
Industrial waaaaaaaat?vijana wa siku hizi mnayumba sana,unamaliza form6 hujui hata ABC za kozi au hujui hata ukasome kitu gani? Kasome Industrial psychology.