Msanii wa muziki wa hip hop(Chemical) amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management

Hakika Mkuu Ila Mpaka Mimi Nilipo, Nimesoma Miaka mi4 ya LLB+2 ya LLM+1 Wa Law School, Jumla Nimesoma Miaka 7 mpaka Sasa Bado najiaandaa Kusoma PhD, Daaah Hatari Sana
Alafu unakuta hata kesi za kuku hujawahi endesha?
 
Hongera sana ngoja na mimi nianze na Certificate Upendo Vocation Training center ,Kisha Diploma Eagle Wing College ,Kisha Degree Njuweni then nakula Masters Tandabui.
Huyo kasoma udsm

Hiyo kozi ya Archeology sio nyepesi Udsm

Jamaa kibao huwa wanakimbia na kuliwa vichwa

Hakuna course rahisi Udsm utasumbuliwa mpaka utakoma kwanini hukwenda udom, Mzumbe au IFM

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Hongera mamii..hivi hii si mpaka upate ajira serikalini ?
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Anajiita Chemical alafu anasoma arts [emoji3]
Mkuu Jitahidi kuelewa course aliyoisoma vizuri kabla ya kumjudge. Ndio yeye ni mwanamuziki na kozi aliyoisoma ina components ambazo unawezazicombine na kozi nyingine na kufanya study yako... mf. namna ya uhifadhi wa intangible resources (Intangible heritage management) katika hizo intangible resourses zimo ngoma, muziki, hadithi za zamani e.t.c. so wigo wa studies katika eneo hili ni mpana sana mkuu. Au jinsi gani ya kuutumia muziki wa kizazi cha sasa kupromote tamaduni za zamani badala ya kuwa na nyimbo za mapenzi tu kila kukicha.........
 
niechangamsha tu uzi mkuu sijamaanisha kaa utani tu
 
Muziki ni biashara, watu wanaingiza sokoni bidhaa inayouzika.

Huwezi kutengeneza bidhaa ambayo watu hawana interest nayo halafu ukaanza kuwalazimisha watu wanunue.
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Muziki ni biashara, watu wanaingiza sokoni bidhaa inayouzika.

Huwezi kutengeneza bidhaa ambayo watu hawana interest nayo halafu ukaanza kuwalazimisha watu wanunue.
Ni sawa usemavyo Mkuu.. je unadhani wote wanapenda mapenzi? Je ulishawahijiuliza mtu anafanyaje kushawishi watu wapende muziki wake? Kwa wapenzi wa kupenda rege au hippop mtunzi wa kwanza kuanzisha hiyo style alilipata wapi soko? You never know mtunzi anajipangaje Mkuu ... singeli soko lake lilianzia wapi?
 
Mkuu kuna biashara ya Muziki na sifa za 'wana'

Watu wa hip hop, ukiwakuta vijiweni wanapewa sifa kibao na watu ambao hawadhuhurii matamasha yao wala kununua kazi zao.

Muziki ni burudani, kama kuna jambo la muhimu wasanii huwa wanafanya campaign 'nyimbo za charity'

Reggae ni muziki uliokuwa kutokana na kuwa mission ya harakati za kupambania uhuru kwa wakati huo, ndio maana sada hivi ni kama umekufa.

Hata huko Jamaica siku hizi wasanii wanaimba Dance Hall.

Singeli haina tofauti na mnanda, taarabu, mchiriku yawezekana usiishi muda mrefu kwasababu hauna ubunifu kama iilivyo taarabu.
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Ukisoma ili upate pesa. Utachelewa sana kupata pesa. Watu wanasoma ili kuongeza elimu (maarifa).
Mwisho wa siku hiyo elimu ( maarifa ) inatakiwa kukusaidia kumudu maisha.

Elimu ( maarifa ) ni uwekezaji. Lazima return on investment ( ROI ) iwepo kuepuka hasara. Hata hayo maarifa huyapati bure.

Huwezi kutafuta maarifa halafu ubaki kuwa mzigo kwa mtu.
 
Ulichosomea haimaniishi ndicho utakitumia kutafutia pesa (kuajiriwa).
Zuchu ana elimu gani? Lakini sasa ni balozi wa CRDB. Wewe uliyekomaa na Economics huwezi hata kumfikia pesa alizonazo Zuchu.
Maisha yanaenda kwa kasi sana. Tusikariri maisha.

Tofautisha elimu na kipaji. Kipaji kinakaa hata kwa chizi.

Lakini matokeo yataletwa na wasomi tu.

Huyo Zuchu wanaomsaidia kuwa hivyo lazima elimu ihusike.
 
vijana wa siku hizi mnayumba sana,unamaliza form6 hujui hata ABC za kozi au hujui hata ukasome kitu gani? Kasome Industrial psychology.
Industrial waaaaaaaat?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
 
Watanzani mmenishinda tabia hivi huwa hamuoni jema kazi kuponda tuu. Aagh yani nyie wengine mngeweza kuwa wachawi aisee.
 
Back
Top Bottom