Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Huko usafini nadhani hadi muda huu watakuwa wamechanganyikiwa baada ya muda mrefu kumkosa Nandy African Princess.
Sasa Msanii mkubwa wa kike wa bongo fleva amemsajili msanii aitwaye Yammy tz mwenye sauti yake Zuchu akasome.
Naona sasa upande wa pili sidhani kama kunakalika.huyu dada anasauti nzuri na hiko unique na anaweza kuimba live, Tofauti kabisa na huyo mnayemwita sijui zuchu label ndo inambeba.