Msanii wa Nandy, Yammi ni moto wa kuotea mbali

Msanii wa Nandy, Yammi ni moto wa kuotea mbali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nandy ni bakhiri aseeeh kaanza kumpa nguo zake za zaman msanii wake, hataki kumnunulia mpyaaa.

Waja wanasema simanzi yatandaa, lol.
FB_IMG_16742925541788591.jpg
 
Huko usafini nadhani hadi muda huu watakuwa wamechanganyikiwa baada ya muda mrefu kumkosa Nandy African Princess.

Sasa Msanii mkubwa wa kike wa bongo fleva amemsajili msanii aitwaye Yammy tz mwenye sauti yake Zuchu akasome.

Naona sasa upande wa pili sidhani kama kunakalika.huyu dada anasauti nzuri na hiko unique na anaweza kuimba live, Tofauti kabisa na huyo mnayemwita sijui zuchu label ndo inambeba.



Haka katoto nimekapenda bure wallah...

Sisikilizagi nyimbo type alotoa jana ila youtube kila mara wananiletea juu so nikaona niusikilize, aisee sijui hata ujumbe alimaanisha nini ila hio sauti sijawahi kuisikia kwa mwanamuziki yoyote hapa Tanzania.

Namtabiria kuwa kama Marioo kwa wasanii wa kike,
 
Nimejifunza sana maisha kubishana na mtu kwa hoja na wala sio kuwa na direct attack kulikuwa na umuhimu gani wa kuniqoutes jina langu...

Na ndo maana nikakuona bado limbukeni kwa hiyo ningenljiita mpalange mfano ndo ingekuwa watu wanavyomaanisha hilo neno...

Id ya jf haiusiani na uhalisia unaotaka kuongelea wewe...ungeniuliza kwanza lengo la kufungua id ya jina hili

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama jina lako limeakisi post yako(kwa mujibu wa aliyenukuu jina lako) ulitaka akwepeshe hiyo straightforward and obvious truth?
 
Mimi kama msikilizaji waendelee kujitahidi na kuleta vitu vitamu tusikilize hakuna ubaya wakiwepo wakali hata elfu moja masikio hayatoshi....., Ila sidhani kama hio ipo katika level za Nandy - Kivuruge.....

Au the Best kutoka kwa Zuchu sidhani kama inaweza kupambana nazo... Aendelee kukaza Buti....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nandy ni bakhiri aseeeh kaanza kumpa nguo zake za zaman msanii wake, hataki kumnunulia mpyaaa.

Waja wanasema simanzi yatandaa, lol. View attachment 2489907
Kuna kila dalili ya huyu binti kulipishwa bilioni 600 wakati anataka kuondoka kwenye lebo...huwa yanaanza hivi hivi🐒
 
Back
Top Bottom