Msanii wa Nandy, Yammi ni moto wa kuotea mbali

Haka katoto nimekapenda bure wallah...

Sisikilizagi nyimbo type alotoa jana ila youtube kila mara wananiletea juu so nikaona niusikilize, aisee sijui hata ujumbe alimaanisha nini ila hio sauti sijawahi kuisikia kwa mwanamuziki yoyote hapa Tanzania.

Namtabiria kuwa kama Marioo kwa wasanii wa kike,
 
Kama jina lako limeakisi post yako(kwa mujibu wa aliyenukuu jina lako) ulitaka akwepeshe hiyo straightforward and obvious truth?
 
Mimi kama msikilizaji waendelee kujitahidi na kuleta vitu vitamu tusikilize hakuna ubaya wakiwepo wakali hata elfu moja masikio hayatoshi....., Ila sidhani kama hio ipo katika level za Nandy - Kivuruge.....

Au the Best kutoka kwa Zuchu sidhani kama inaweza kupambana nazo... Aendelee kukaza Buti....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nandy ni bakhiri aseeeh kaanza kumpa nguo zake za zaman msanii wake, hataki kumnunulia mpyaaa.

Waja wanasema simanzi yatandaa, lol. View attachment 2489907
Kuna kila dalili ya huyu binti kulipishwa bilioni 600 wakati anataka kuondoka kwenye lebo...huwa yanaanza hivi hivi🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…