Msanii wa Sinema za Bongo Achora tatuu hadi kwenye makalio

Msanii wa Sinema za Bongo Achora tatuu hadi kwenye makalio

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
rayuu_dartalk.jpg


MSANII ndani ya tasnia ya filamu na tamthilia za kibongo Rayuu, azidi kujichora tattoo kwenye mwili wake ambapo sasa aamua kuchora kiunoni na sehemu nyingine nyeti.
 
Mh

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
napita tuu.... nay said the truth
 
Hapo ni kwenye makalio unayajua makalio vizuri ?
Kamuulize masaburi
 
Hapo ni kwenye makalio unayajua makalio vizuri ?
Kamuulize masaburi

LONG LIVE JF. YANI UWA NACHEKA PEKE YANGU. NA AJABU ANAYERESPOND APO JUU WAKUTA LIMETOLEWA NA LECTURER WA UD AU ADVOCATE FULANI AU ATA ECONOMIST WA BOT AKIJINICKNAME ATI C.T.U. ILI TUSIMJUE. THANK U MR Jf
 
napita tuu.... Nay said the truth

ati wapita tuuu??? Mbona dushelele lako limesomama. Duh gadhabu ilo najua utalimalizia kwa shemeji mpaka umchubue. Sasa kakukosea nini. Ati umelipa mahali aya bana mzee wa dushelele
 
KASHOROBANA,
Unaweza kuta aliyecomment ni Baba Mwanaasha. Hahahahahah.........
 
Bongo movie bongo lala!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
KASHOROBANA,
Unaweza kuta aliyecomment ni Baba Mwanaasha. Hahahahahah.........

LONG LIVE Jf. YANI UWA NACHEKA SANA CAPT KOMBA YULE MH. KILA SIKU YUMO NA ANA MDOMO MCHAFU UYO. ANA MATUSI USIPIME. LKN UWEZI MJUA KITU KM KAJIITA KIJIKO IVI BUT AM NOT SURE MSINIQUOTE.... HA HA HA. AISe
 
Bongo supa staa ni kile waingereza huita monkey, see monkey do. Usishangae kesho akafanya mambo mengine kama usagaji baada ya kuona mastaa wa majuu wanavyofanya. Hamjaona wanavyojifanya kuigiza kiingereza au kukizungumza wakati wengi hakipandi na kama kinapanda wanakitumia mahali si pake? Ulimbukeni ni asili yao na usupastaa bongo si kingine bali ulimbukeni. Hata baadhi ya viongozi wamo kwenye kundi hili la malimbukeni. Wanapewa jezi za mpira kila waendako na hawang'aki. Huenda nao watachora tatuu siku si nyingi.
 
Back
Top Bottom