Msanii wa Sinema za Bongo Achora tatuu hadi kwenye makalio

Msanii wa Sinema za Bongo Achora tatuu hadi kwenye makalio

Hii sio Habari ni Promo ..haya Mama Tutakutafuta ..unAitwa. Nani vile RAyuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mpaka achorwe hapo huyu atakuwa kashaliwa 0713 na aliyemchora...
Hapo atakuwa anuka mashuzi tuu..
 
anajua akisema amechora makalio wengi mtataka kuyaona na ili kuyaona ni mpaka maelewano fulani mkishaelewana hajapata mteja bado,biashara ubunifu bana long life jf.
 
Mi sioni tatizo la yeye kuchora tatoo mpaka huko anpotaka,ila tatizo ni picha zake za kumuonyesha tatoo zake,ambazo bf wake ndo angepaswa kuziona...
Au ndo biashara matangazo
SAMAHANI LAKINI.....
 
Another junk...
Hivi huyu mwanamuziki wa Bongoflava... NEy wa Mitego aliyeimba "Makahaba wenye viwango wako Bongo Movie" alikosea au aliwaonea wasanii wa Bongo Movie? Nafikiri ni vyema tukatafakari kuhusu suala hili
 
Bongo supa staa ni kile waingereza huita monkey, see monkey do. Usishangae kesho akafanya mambo mengine kama usagaji baada ya kuona mastaa wa majuu wanavyofanya. Hamjaona wanavyojifanya kuigiza kiingereza au kukizungumza wakati wengi hakipandi na kama kinapanda wanakitumia mahali si pake? Ulimbukeni ni asili yao na usupastaa bongo si kingine bali ulimbukeni. Hata baadhi ya viongozi wamo kwenye kundi hili la malimbukeni. Wanapewa jezi za mpira kila waendako na hawang'aki. Huenda nao watachora tatuu siku si nyingi.

Mkuu.!, kweli umenikumbusha issue moja.., sijui ndio ulimbukeni kama unavyosema au umbumbu wa kutojua mambo.., wewe umeona wapi, Mkubwa sana anatowa zawadi ya sanduku nzuri tuu lenye nakshi za asili ya Zenji.., yule Mzungu inreply anampa Jezi ya Mpira...ivi kweli ata ukilinganisha thamani ya vitu viwili ivi vinaendana kweli?..na unapokea kwa madoido ya picha za Michuzi..., kweli ulimbukeni mbaya.
 
Heading na hali halisi tofauti kabisa. Ukanjanja mwingine wa kureport? Toka lini kiuno kikawa makalio?
 
Back
Top Bottom