LetterTo MyFather
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 308
- 661
usitafute sifa kwanguDarasa Ni Mume wako Wa Ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usitafute sifa kwanguDarasa Ni Mume wako Wa Ndoa
Taarifa haina tatizo ila umeanza kuisifia Kenya, umemvika tuhuma msanii ilihali hujui kwanini hakuja, unaposema ameanza kaa jeuri una maana gani? Yeye ni binadamu unajuaje kama aliugua ghafla?
Ok kwakua umekuja na povu la omo ngoja nikuongeze sabuni utoe povu vizuri.Binadamu akiumwa husema, hutoa taarifa... Hivi wewe unawaza nini maelfu ya mashabiki wamelipia kiingilio wanakusubiri huku wakinywa pombe na kupata burudani, kila mmoja anakusubiri huku akilitaja jina lako, wengine wakiimba nyimbo zako, mzuka unazidi kuwapanda, wanakusubiri kwa hamu.... halafu unakosa kuja na hutoi sababu.....
Ok kwakua umekuja na povu la omo ngoja nikuongeze sabuni utoe povu vizuri.
Kwanini hamkumpeleka Juakali awaimbie? Unajua Juakali ni msanii mkali sana East Africa yote?
Kwanini mnamualika msanii mwenye uwezo mdogo kuliko juakali?Msanii aliyekua amealikwa siku hiyo ndiye ilibidi asubiriwe, Jua Cali hakuwa amealikwa na labda alikua anatumbuiza kwengine.
Wanamuziki wote wakiwemo Wakenya tumewalea, sio Wabongo tu yaani wa ukanda wote huu wakiwemo Bakongo lazima watinge Nairobi ili wapate kiki ya maisha. Huko Bongo wana mashabiki wengi wavaa milegezo tu lakini wabahiri hawataki kulipia show za kweli.
Pata huu uhondo wa Mbilia Bel kwanini Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru... Yaani huu wimbo ukichezwa kwenye live band za Zanzibar huwa lazima niwatunze wasanii.
Kwanini mnamualika msanii mwenye uwezo mdogo kuliko juakali?
Nyie sindo mnajua kila kitu east africa? Imekuaje Darasa awasomeshe namba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaonekana kama umri bado na ukikua tutajadili mambo kama haya, japo nakuacha na taarifa labda usizozijua kwamba Kenya huwa tunawaalika wasanii kutoka kote kote waje kujijenga kimaisha maana soko la ukanda huu wa Afrika linaanzia Kenya.
Haya kwaheri...
Kenya gani bwana wewe!!nani anasikiliza muziki wa Kenya huku Tanzania?!labda kama mumshirikishe mTz ndio tutasikiliza..muziki uko Tanzania bwana!!na ndio maana nyie leo hii munaimba Bongofleva!!kwasababu muziki wenu umekosa ladha kabisaUnaonekana kama umri bado na ukikua tutajadili mambo kama haya, japo nakuacha na taarifa labda usizozijua kwamba Kenya huwa tunawaalika wasanii kutoka kote kote waje kujijenga kimaisha maana soko la ukanda huu wa Afrika linaanzia Kenya.
Haya kwaheri...
Kenya gani bwana wewe!!nani anasikiliza muziki wa Kenya huku Tanzania?!labda kama mumshirikishe mTz ndio tutasikiliza..muziki uko Tanzania bwana!!na ndio maana nyie leo hii munaimba Bongofleva!!kwasababu muziki wenu umekosa ladha kabisa
Diamond ametoboa Bongo hapahapa kwanza,katika sehemu ambazo diamond hajabase ni Kenya!!wasanii wenu wako hoi kwenye muziki!!
Kenya haina mchango wowote
Kenya kwenye muziki ni shamba la bibi acha wachakarikaji waje wazoe mihela waondokeUelewa wenu mdogo, lazima mtu arudie mara kumi ndio uelewe chochote. Nimesema Kenya tunalea wanamuziki wote, wa kwetu na hata wa mataifa ya nje. Lazima kila msanii apambane ili afike Kenya ndio aanze kuwa mtu wa kusikika, la sivyo ataishia kuwatumbuiza wavaa milegezo hapo Bongo mpaka basi.
Kwelo wa kenya mna majivuno hujui hata historia ya bongo fleva unajifanya mjuajiTumia fursa yako kujifunza mambo machache kuhusu muziki ukanda huu sio kukurupuka hapo kitaa.
Nimesema mara nyingi Watanzania hampo exposed, ni rahisi kuwafuga kwenye zizi moja na ndio maana hamjui chochote nje ya Bongo flavor.
Mkiingizwa kwenye zizi moja mnazikwa wote, hivyo hakuna mwanamuziki yeyote wa kutoka nje anaweza kuingia kwenye chart yenu maana hamjui chochote nje ya Tanzania, hamna exposure....ni wachache wenu hata wanajua Tanzania ina majirani wa ngapi na yupi yuko wapi na hata ramani ya nchi yenu.
Pili kafanye utafiti akina nani wamemuinua Diamond hadi amefahamika kimataifa, nenda kasome kipindi anasaidiwa na Ogopa DJ wa Kenya.