Msanii wa Tanzania maarufu kama Darasa asakwa na polisi Kenya kwa kukiuka mkataba

Taarifa haina tatizo ila umeanza kuisifia Kenya, umemvika tuhuma msanii ilihali hujui kwanini hakuja, unaposema ameanza kaa jeuri una maana gani? Yeye ni binadamu unajuaje kama aliugua ghafla?
 
Taarifa haina tatizo ila umeanza kuisifia Kenya, umemvika tuhuma msanii ilihali hujui kwanini hakuja, unaposema ameanza kaa jeuri una maana gani? Yeye ni binadamu unajuaje kama aliugua ghafla?

Binadamu akiumwa husema, hutoa taarifa... Hivi wewe unawaza nini maelfu ya mashabiki wamelipia kiingilio wanakusubiri huku wakinywa pombe na kupata burudani, kila mmoja anakusubiri huku akilitaja jina lako, wengine wakiimba nyimbo zako, mzuka unazidi kuwapanda, wanakusubiri kwa hamu.... halafu unakosa kuja na hutoi sababu.....
 
Ok kwakua umekuja na povu la omo ngoja nikuongeze sabuni utoe povu vizuri.

Kwanini hamkumpeleka Juakali awaimbie? Unajua Juakali ni msanii mkali sana East Africa yote?
 
Ok kwakua umekuja na povu la omo ngoja nikuongeze sabuni utoe povu vizuri.

Kwanini hamkumpeleka Juakali awaimbie? Unajua Juakali ni msanii mkali sana East Africa yote?

Msanii aliyekua amealikwa siku hiyo ndiye ilibidi asubiriwe, Jua Cali hakuwa amealikwa na labda alikua anatumbuiza kwengine.
 
Msanii aliyekua amealikwa siku hiyo ndiye ilibidi asubiriwe, Jua Cali hakuwa amealikwa na labda alikua anatumbuiza kwengine.
Kwanini mnamualika msanii mwenye uwezo mdogo kuliko juakali?
Nyie sindo mnajua kila kitu east africa? Imekuaje Darasa awasomeshe namba?
 
Wabahiri ndo lugha gani????
 
Kwanini mnamualika msanii mwenye uwezo mdogo kuliko juakali?
Nyie sindo mnajua kila kitu east africa? Imekuaje Darasa awasomeshe namba?

Unaonekana kama umri bado na ukikua tutajadili mambo kama haya, japo nakuacha na taarifa labda usizozijua kwamba Kenya huwa tunawaalika wasanii kutoka kote kote waje kujijenga kimaisha maana soko la ukanda huu wa Afrika linaanzia Kenya.
Haya kwaheri...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuongeza povu lingine
 
Kenya gani bwana wewe!!nani anasikiliza muziki wa Kenya huku Tanzania?!labda kama mumshirikishe mTz ndio tutasikiliza..muziki uko Tanzania bwana!!na ndio maana nyie leo hii munaimba Bongofleva!!kwasababu muziki wenu umekosa ladha kabisa

Diamond ametoboa Bongo hapahapa kwanza,katika sehemu ambazo diamond hajabase ni Kenya!!wasanii wenu wako hoi kwenye muziki!!
Kenya haina mchango wowote
 
Tumia fursa yako kujifunza mambo machache kuhusu muziki ukanda huu sio kukurupuka hapo kitaa.
Nimesema mara nyingi Watanzania hampo exposed, ni rahisi kuwafuga kwenye zizi moja na ndio maana hamjui chochote nje ya Bongo flavor.
Mkiingizwa kwenye zizi moja mnazikwa wote, hivyo hakuna mwanamuziki yeyote wa kutoka nje anaweza kuingia kwenye chart yenu maana hamjui chochote nje ya Tanzania, hamna exposure....ni wachache wenu hata wanajua Tanzania ina majirani wa ngapi na yupi yuko wapi na hata ramani ya nchi yenu.

Pili kafanye utafiti akina nani wamemuinua Diamond hadi amefahamika kimataifa, nenda kasome kipindi anasaidiwa na Ogopa DJ wa Kenya.
 
Kenya kwenye muziki ni shamba la bibi acha wachakarikaji waje wazoe mihela waondoke
 
Kwelo wa kenya mna majivuno hujui hata historia ya bongo fleva unajifanya mjuaji
Hao ogopa dj hawakuona mkenya wa kumsaidia mpaka wakamsaidie diamond!!
Naoana unajitahidi kupingana na ukweli ila tambua tz tumeuzika mziki wa kenya rasm
Ndio maana sasa hv mkenya akitaka kutusua kwenye gem lazima atafute support ya mtanzania...
Kwakweli wana mziki wa kenya sasa hv wana hali ngumu ndio maana wanaanza ku-copy bongo fleva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…