Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Ndio kusema kuwa hakuna wachekeshaji wa kike?!! Duuh hatare.....Hizo zitakuwa za kiume, hao wanaompa matangazo hawajaona watoto wa kike wawatangazie?
Nowadays wanawake wanatamani Kuwa Wanaume (Toms+Wanaosagwa) now days Pia Wanaume Wanatamani Kuwa Wanawake. Daaah heka²Hata kama ni endorsement, hizi zingine wafanye wanawake wenyewe labda kama wanamjua mwanaume jina tu
Tofautisha joti na huyu, joti anachekesha huyu anarembua apigwe mpiniAcheni majungu na masufuria mwenzenu hapo anapiga pesa mbona joti amumuandami kama huyu kijana wakati wote waonafanya sanaa moja ya kuigiza kama mwanamke.
Naona kafanana na RayVanny chui au naona vibayaWakuu Kazi Iendelee
Msanii Wa vichekesho Dulvan amepost Picha Zake Instagram akiwa Amevaa Brazia(Bra) Kama Tangazo La Brazia.
Vijana Wa Kiume Kwa Sasa Wanatamani Kuwa Wanawake Badala ya Kufanya Matangazo Ya Kiume.
Kwa Nini Huyu Kijana Anapenda Sana Kufanya Segment za Kike?View attachment 1964980View attachment 1964981View attachment 1964979