Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Kazi Iendelee
Msanii Wa vichekesho Dulvan amepost Picha Zake Instagram akiwa Amevaa Brazia(Bra) Kama Tangazo La Brazia.
Vijana Wa Kiume Kwa Sasa Wanatamani Kuwa Wanawake Badala ya Kufanya Matangazo Ya Kiume.
Kwa Nini Huyu Kijana Anapenda Sana Kufanya Segment za Kike?View attachment 1964980
View attachment 1964979