Msanii Wakazi: Namiliki shule maeneo ya Ukonga

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Msanii kunako kiwanda cha muziki wa bongo fleva Wakazi amesema anamiliki shule ya nursery na primary maeneo ya stakishari ukonga.

Wakazi ameyasema hayo akihojiwa na Dozen Selection ambapo aliulizwa mbali na muziki anajihusisha na ujasiriamali gani. Akijibu swali hilo msanii wakazi amesema anamiliki shule ya nursery na primary maeneo ya stakishari, Ukonga jijini Dar es salaam. Hata hivyo hakuweza kutaja jina la shule husika.

 
Huyu jamaa nilijuaga ni mhaya mpaka nilipoambiwa ni jamaa ya mzee wasira..Yani mseng anajua kila kitu wanamuita msanii wa twitter anajikuta anakubalika kinoma cha ajabu ata ukonga yenyewe hakuna anaemjua analazimisha fani... aendelee kuwa dalali wa magari muziki hawezi kabisa anarap rap tu.
 
Siku hizi ukipata watoto wa kuwavalisha jezi za taifa stars, frame ya duka utakayoweka ubao mbele pamoja na kuchora picha za wanyama na majina yao ya kiingereza ukutani ukamalizia na 'A for apple' na kabinti kalichofeli form 4 atumike kama mwalimu basi tayari na wewe una shule. Tena English medium kabisa. Cha ajabu mtoto akirudi nyumbani anaimba Nyegezi huku akijua demu mpya wa Diamond anaitwa nani na Amber Rutty katoa video gani ndio hapo unajiuliza alikuwa anafundishwa kupitia Instagram au.
 
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]mabishoo mi nawachapa,,

BAKORA!!![emoji443][emoji443][emoji443][emoji443]
 
Usione wahaya wanasemwa sana, ila watu wa Mara wana sifa sawa na za Wahaya yani wana sifa balaa sema uwa wanafanishwa na wahaya kwakuwa ndo washakuwa na sifa hiyo.

Ila sifa moja ya watu wa Mara ni watu wa ukweli yani ni real friends kama ni rafiki yako jua ni rafiki wa ukweli wana roho nzuri sana
 
Mkuu una kashule kako nini ka mtindo huo maana si kwa mchanganuo huo.
 
Wakazi anaupenda muziki ila muziki haumpendi, akomae kwenye ujasiriamali maana asitegemee kutoboa kupitia muziki
😳😳😳aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…