Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Msanii kunako kiwanda cha muziki wa bongo fleva Wakazi amesema anamiliki shule ya nursery na primary maeneo ya stakishari ukonga.
Wakazi ameyasema hayo akihojiwa na Dozen Selection ambapo aliulizwa mbali na muziki anajihusisha na ujasiriamali gani. Akijibu swali hilo msanii wakazi amesema anamiliki shule ya nursery na primary maeneo ya stakishari, Ukonga jijini Dar es salaam. Hata hivyo hakuweza kutaja jina la shule husika.