Msanii Wakazi: Namiliki shule maeneo ya Ukonga

Mkuu endelea kutembeza bahasha mpaka miguu iote sugu, mambo mengine waachie wenyewe.
 
Mkuu endelea kutembeza bahasha mpaka miguu iote sugu, mambo mengine waachie wenyewe.
Ujinga wa hii mitandao unaweza kuta wewe ndie unanifungulia mlango kila asubuhi ofisini kwangu na shikamoo juu japokuwa una mvi mpaka pakutolea haja kubwa. Ila kwa vile kuna fake id's unakuwa huru kusema utakacho kwa vile hatujuani kwa majina fake.
Hongera na wewe umecomment mkuu sasa unaweza pumzika baada ya kiporo cha pilau ya xmass hapo kwa shemeji yako.
 
Wewe unaweza nini?
 
Mpvmbavu. Nimekupuuza.
 
Noma sana...nasoma hizi comments aisee ni chuki tupu...na mtaani hali ni hivi hivi...
Na ndio hawa eti unaweza ukaja na wazo mshirikiane?
Watakupa mawazo gani?

Haya mambo yalinifanya nikajiondoa kwenye magroup yote na nikafuta na Watsap app kwasababu unakuta hakuna kujadili kama Vijana tufanyeje tutoke hapa tulipo ila Kila uchwao kuponda anayejaribu!
 
Kweli mkuu...hayo magroup ya WhatsApp na mimi nawazaga nijitoe manake ni kuitana kwenye bata tu na kuchunguzana tu flani anaishi vipi?...ila siku hizi kuna chuki sana
 
Anajifanyaga much know eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…