Msanii wako bora wa mwaka 2021 kwenye Bongo Flavour

"Hakuna mwengine wa kumsikia
Kwenye maskio yaaangu
Hakuna mwengine wa kumuona
Kwenye macho yaangu
Nibebe nibebe honey nishushe mahabani aah
Nigege nigege
Me kwako tahabani"...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee!
 
Christopher Maurice Brown
 
Kumbe bongo flavour ni tofauti na nyimbo za hip hop? Mimi najuaga zote ni bongo flavour ila kuna hip hop na za kulialia humo ndani[emoji3]
Bongo fleva means n muziki wowote wa kitanzania .... hata hao wanaofanya hip-hop still tunawaweka kundi la Bongo fleva seme n ile ubishi kwamba neno Bongo fleva limekaa km laini laini
 
Bongo fleva means n muziki wowote wa kitanzania .... hata hao wanaofanya hip-hop still tunawaweka kundi la Bongo fleva seme n ile ubishi kwamba neno Bongo fleva limekaa km laini laini
mkuu usichanganhe mambo hip hop haiusiani na bongo fleva hata kidogo

hip hop ni ulimwengu mzima ujue, hip hop ipo mpaka china

sasa tunakuelewa vipi unavyosema wanaofanya hip hop tanzania wote unawaweka kundi la bongo fleva?
 
Hip hop ya bongo Ni bongo fleva...bongo fleva Ni mziki wowote wa kibongo(by wabongo for wabongo)
acha kupotosha jamii, Hip hop haina ushirikiano wowote na bongofleva
 
Kwa management ipi ?
management inaweza ikawa mbovu au msanii anaweza akawa hana kabisa hiyo management yenyewe lakin kama masanaa atoi boko kwenye nyimbo zake basi atakubalika tu.

management sio kigezo cha kushindwa kuwakimbiza

kama anajua anajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…