Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kama wasanii kujua wapo wengi sana wanaojua lakini account zao zinapumulia mashine. Mashabiki wanaishia tu kuwapa sifa then basimanagement inaweza ikawa mbovu au msanii anaweza akawa hana kabisa hiyo management yenyewe lakin kama masanaa atoi boko kwenye nyimbo zake basi atakubalika tu.
management sio kigezo cha kushindwa kuwakimbiza
kama anajua anajua tu
kama wanajua alafu atuwasikii basi hawajui hao mkuu...Kama wasanii kujua wapo wengi sana wanaojua lakini account zao zinapumulia mashine. Mashabiki wanaishia tu kuwapa sifa then basi
Mnanunua kazi zao au mnazipata kihuni au kutengeneza maskini wenye majina makubwa ?kama wanajua alafu atuwasikii basi hawajui hao mkuu...
mbona wakina lord music hawana management lakin taratibu wanakuja kwenye ramani
Bro huyu ni Mario sio MariooKuna huu pia nafikiri ni wimbo wake[emoji205]
Mimi nazungumzia wasanii wa kitanzania wanaofanya Hiphop.... kwa pamoja bado wataitwa Bongo fleva..coz ile....fleva yao wanayotupa kupitia Hip-hop ni ya hapa hapa Bongo ...so swala la Hiphop kuwa dunia nzima halimake sensemkuu usichanganhe mambo hip hop haiusiani na bongo fleva hata kidogo
hip hop ni ulimwengu mzima ujue, hip hop ipo mpaka china
sasa tunakuelewa vipi unavyosema wanaofanya hip hop tanzania wote unawaweka kundi la bongo fleva?
Mkuu we ndo huelewi tafsiri ya Neno Bongo Fleva.....acha kupotosha jamii, Hip hop haina ushirikiano wowote na bongofleva
Yaap kaimba yeyeKaimba mama Amina na Madjozi ni nzuri,
Hivi na bia tamu si ni yeye kaimba ama naconfuse?
Sio huyu bwana huyu yuko mamtoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna huu pia nafikiri ni wimbo wake[emoji205]
Blngofleva sio genre ya muziki...Bali Ni muziki unaoimbwa Na wabongo Kwa maudhui ya wabongo.acha kupotosha jamii, Hip hop haina ushirikiano wowote na bongofleva
Hilo ni swala Binafsi.... me nazungumzia hapa nyumbani wasanii wote wanaofanya music wako kundi la bongo flevalabda nikuulize hili
kwaiyo mkuu msanii wa kitanzania anaye fanya hiphop akienda mbele duniani uko anajitambulisha anafanya hiphop au bongofleva ?
Asikuambie mtu tu tu tu bia tamuHuyo marioo kaimba nyimbo gani?
Kama anaona hii comment ajue tupo nae pamoja numeanza kumkubaliYes I'm a huge fan of him and hip hop in general
Soon atakuja jf hapa, dizasta tayari tupo nae humu
Lakini wamesema bongo flavour sio bongo hip hopNick Mbishi