Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kama wasanii kujua wapo wengi sana wanaojua lakini account zao zinapumulia mashine. Mashabiki wanaishia tu kuwapa sifa then basimanagement inaweza ikawa mbovu au msanii anaweza akawa hana kabisa hiyo management yenyewe lakin kama masanaa atoi boko kwenye nyimbo zake basi atakubalika tu.
management sio kigezo cha kushindwa kuwakimbiza
kama anajua anajua tu