Msanii wako bora wa mwaka 2021 kwenye Bongo Flavour

Msanii wako bora wa mwaka 2021 kwenye Bongo Flavour

Namjua fresh hupo P the Mcee..

But ndo hivyo,hawezi kumake top 30.

Kumbe hadi fanya wewe umeusikiliza??..nyimbo za wagumu hizi mtoto mzuri.
Mchizi ni hip hop artist so kumuweka kwenye category hiyo ya kibongo fleva haitokua poa
 
P the mc akifanya ngoma na zaid, huwa wanaendana sana, ninanyimbo zao nyingi ki ufupi namkubari sana p, hata songa pia yupo vizuri, ila me ni shabiki mkubwa wa p the mc, hajawahi niangusha kwenye ngoma zake

Mnyakyusa nasalimia mugonile hamjambo, tunafundishwa adabu kwenye jando na unyago.../

Nacho ringia na kujisifu, ni ujasiri toka kwenye historia za machifu.../

Vingi vinanjfanya nifurahi nikikumbuka, tukuyu nikiamka ni chai na mabumunda.../

Usiku tunauzunguka moto sababu ya baridi, tukisikiliza hadithi kibao toka kwa bibi.../

Hivi mnaukumbuka kweli oldonyo lengai?, mlima wa mungu uliopewa jina la kimasai.../
 
Kama dizasta vina yupo humu basi afunguliwe special thread tuwe tunachat nae atupe muongozo wa projects zake
Album
Videos huko u tube
Na show zako


Am big fan wa dizasta vina kijogoo, 8 miles
[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom