Msanii Whozu nyimbo zake zilizopita zilikua hits kiasi chake na nzuri ila sikuhizi sijui anatoa ushubwada gani

Msanii Whozu nyimbo zake zilizopita zilikua hits kiasi chake na nzuri ila sikuhizi sijui anatoa ushubwada gani

Pisi kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,234
Reaction score
2,535
Kwenu wakuu

Huyu msanii nyimbo zake zilizopita zilikua hits kiasi chake na nzuri ila sikuhizi sijui anatoa ushubwada gani usharo mwingiiiii
Nyimbo sio hits tena sio zile zinye pick ile aliyokuja nayo
Japo comedy kaacha ila aangalie na nyimbo za kutoa almost manyimbo yake ya hivi karibuni kama yanafanana na ni ushubwada mtupu ila kwenye kuimba yuko poa haswa kwenye featuring anakaza vizuri🤪



Updated

Kwa wasiomjua ni huyu hapa[emoji1484][emoji1484][emoji1484]
Nyimbo zake zilizofanya vizuri kiasi chake kuna
Nifollow nikufollow
Tunavesha
Huendi mbinguni
Alifanya covers nyingi ikiwemo this is Tanzania

View attachment 1312721
 
Back
Top Bottom