Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
😂😂Mla bata kaona Pisi kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Mla bata kaona Pisi kali
Asije akala njiwa
Kuna iyo na ile ya TUNAVESHATangu atoe "huendi mbinguni" sijawahi kuona tena hit song kutoka kwake lol,
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti wa SabaSita anazidi kuwamaliza hawa vijana.
Tafadhariii mkuu!, yana ukweli hayo???
Tafadhariii mkuu!, yana ukweli hayo???
Tumekwishaaaa!
Aachane na Tunda atatoa nyimbo nzuri.Kwenu wakuu
Huyu msanii nyimbo zake zilizopita zilikua hits kiasi chake na nzuri ila sikuhizi sijui anatoa ushubwada gani usharo mwingiiiii
Nyimbo sio hits tena sio zile zinye pick ile aliyokuja nayo
Japo comedy kaacha ila aangalie na nyimbo za kutoa almost manyimbo yake ya hivi karibuni kama yanafanana na ni ushubwada mtupu ila kwenye kuimba yuko poa haswa kwenye featuring anakaza vizuri🤪
Hahah we tulia tu mkuu,aendelee kukitembeza huko kwny ma hotel then anakipumzishia kwa hao vijana wa bongo fleva.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Whozu huwa namkubali sana, sio kwa muziki wake, bali jinsi alivyo humble na ana kaujinga flani.
Ila sijui nini kilimfanya amfuge huyo manzi, sijui hana hata washikaji wa kumuambia au ndugu wa kumuambia aache uboya