Msanii Whozu nyimbo zake zilizopita zilikua hits kiasi chake na nzuri ila sikuhizi sijui anatoa ushubwada gani

Aachane na Tunda atatoa nyimbo nzuri.
 
Alianza vizuri sana. Huendi Mbinguni niliielewa. Bora angeendelea na comedy.
 
Hahah we tulia tu mkuu,aendelee kukitembeza huko kwny ma hotel then anakipumzishia kwa hao vijana wa bongo fleva.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu Whozu huwa namkubali sana, sio kwa muziki wake, bali jinsi alivyo humble na ana kaujinga flani.
Ila sijui nini kilimfanya amfuge huyo manzi, sijui hana hata washikaji wa kumuambia au ndugu wa kumuambia aache uboya
 
Si unajua tena ukute chalii ametoka maisha magumu na alikua anawaona hao wakina tunda kwny TV tu akawa anajisemea siku nikitoboa mademu maarufu wa insta watanikoma.

Mambo kama hayo mkuu.
Huyu Whozu huwa namkubali sana, sio kwa muziki wake, bali jinsi alivyo humble na ana kaujinga flani.
Ila sijui nini kilimfanya amfuge huyo manzi, sijui hana hata washikaji wa kumuambia au ndugu wa kumuambia aache uboya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…