Saving account
Member
- Jun 28, 2016
- 21
- 22
Baada ya vuta nkuvute za hapa na pale about ishu ya young D kumkana mwanae.....the man aliomba radhi na kuelezea kilichotokea...Well kaamua rasmi kuprove kwamba amempokea mwanae na yuko nae poa kinyama. Kaenda kumuona na we have some picturez.[HASHTAG]#sasa[/HASHTAG] je.....unasemaje kuhusu hili....sio mbaya ukiacha comment yako moja hatari sana......