Msanii Young D amfuata mwanae, apiga picha na mama mtoto

Msanii Young D amfuata mwanae, apiga picha na mama mtoto

Joined
Jun 28, 2016
Posts
21
Reaction score
22
Baada ya vuta nkuvute za hapa na pale about ishu ya young D kumkana mwanae.....the man aliomba radhi na kuelezea kilichotokea...Well kaamua rasmi kuprove kwamba amempokea mwanae na yuko nae poa kinyama. Kaenda kumuona na we have some picturez.[HASHTAG]#sasa[/HASHTAG] je.....unasemaje kuhusu hili....sio mbaya ukiacha comment yako moja hatari sana......
IMG-20161212-WA0002.jpg
IMG-20161212-WA0001-1.jpg
 
Katoto kazuriii hadi raha..
And of course katoto kamempa kiki balaa kila mtu anampongeza sasa
 
Back
Top Bottom