Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Jina lake kamili ni Adam Mutyaba Mukiibi alizaliwa Ggaba uko Kampala nchini Uganda.Mwaka 1998 alienda South Africa kusoma Diploma ya lugha kwa miaka 3 hadi 2001.
Harafu baada ya hapo akaja Tanzania kusoma diploma ya IT.Ndipo alipoanza music rasmi.
2002 aliingia rasmi kwa music na alifanikiwa kutoa nyimbo ya Eno mic ambayo alimshirikisha msanii Bob Wine wa Uganda.
Nyimbo hiyo ilimpatia umaarufu sana katika nchi za Tanzania,Kenya,Uganda,South Africa,Malawi,Zimbabwe etc
Ilipelekea hadi kupata mualiko kwenda kuwaimbia wabunge wa Uganda kwenye sherehe zao na alipata show nyingi sana.
Baada ya hapo hakusikika tena zaidi ya kuzungumza kwenye interview kwamba atatoa album ya nyimbo 24 zenye lugha tofauti lakin hakusikika sana.
Je huyu mtu nauliza yuko wap sasa.
Last edited by a moderator: