Msanii Ziggy Dee wa eno mic alipotelea wapi?

Msanii Ziggy Dee wa eno mic alipotelea wapi?

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Jina lake kamili ni Adam Mutyaba Mukiibi alizaliwa Ggaba uko Kampala nchini Uganda.Mwaka 1998 alienda South Africa kusoma Diploma ya lugha kwa miaka 3 hadi 2001.

Harafu baada ya hapo akaja Tanzania kusoma diploma ya IT.Ndipo alipoanza music rasmi.

2002 aliingia rasmi kwa music na alifanikiwa kutoa nyimbo ya Eno mic ambayo alimshirikisha msanii Bob Wine wa Uganda.

Nyimbo hiyo ilimpatia umaarufu sana katika nchi za Tanzania,Kenya,Uganda,South Africa,Malawi,Zimbabwe etc

Ilipelekea hadi kupata mualiko kwenda kuwaimbia wabunge wa Uganda kwenye sherehe zao na alipata show nyingi sana.

Baada ya hapo hakusikika tena zaidi ya kuzungumza kwenye interview kwamba atatoa album ya nyimbo 24 zenye lugha tofauti lakin hakusikika sana.

Je huyu mtu nauliza yuko wap sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mayooooo kipindi hicho ipigwe enomic, ikiisha kinawekwa kitu mabinti wa kitanga hahahaha weka mbali na watoto
 
Umesahau na johnny song lako. Sasa hivi na utu uzima huu, viuno vishakomaaa wee, kushindana na vitoto vya siku hizi utategua tu kiuno kama sio kuvunja miguu. Basi inabidi tu ni opt kwenye salsa na rhumba yani full zilipendwa. teh teh teh ikipigwa tu rangi ya chungwa na zile kina georgina ndo najifanya mjanja hahaah
 
Hhhhhhhaaaaa yaa ile akisema tu Huhaaaa Yemi alade ni shidaaaa,hata mi siku hizi napenda Bakurutu wee sipitwii,kwenye live band ndio utamu rahaa,
 
Hhhhhhhaaaaa yaa ile akisema tu Huhaaaa Yemi alade ni shidaaaa,hata mi siku hizi napenda Bakurutu wee sipitwii,kwenye live band ndio utamu rahaa,

Kiruuuuuu mie hapo tutaonana muziki tu ukiisha. Muda wa kukaa chini sina while masong yanashushwa tu. Binamu nikisikia misebene naugua kabisaaaa hahaha, kisanola, bakandja loooh ntasumbuaje sasa wakati kucheza kwenyewe sijui
 
Hhhhhhhaaaaa yaa ile akisema tu Huhaaaa Yemi alade ni shidaaaa,hata mi siku hizi napenda Bakurutu wee sipitwii,kwenye live band ndio utamu rahaa,

Hahahaaaa Dinazarde weweee,eti huhaaaaa
Huo wimbo unachezeka vizuri sana jaribu kidogo kidogo
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa Dinazarde weweee,eti huhaaaaa
Huo wimbo unachezeka vizuri sana jaribu kidogo kidogo

Unachezekaa ila sasa zamani nilikua mwepesi kidogo siku hiz sipend kucheza muziki napenda kusikiliza tu,nikicheza najaribishia tu HUHAAAAAAA
Zamani nilikua napenda sana kucheza muziki yaan sipitwi tukio hadi ntatoroka ntacheza mwanzo mwisho sikaii,lakini siku hiz usiku nataka nilale tu labda kwenda live band pale Villa park nakula samaki halaf narudi kulala
 
Last edited by a moderator:
Kiruuuuuu mie hapo tutaonana muziki tu ukiisha. Muda wa kukaa chini sina while masong yanashushwa tu. Binamu nikisikia misebene naugua kabisaaaa hahaha, kisanola, bakandja loooh ntasumbuaje sasa wakati kucheza kwenyewe sijui

Kucheza si ni kurusha viungo tu au we mpaka uchezejee hhhhaaa
 
Back
Top Bottom