Msanii Ziggy Dee wa eno mic alipotelea wapi?

Kweli vizazi vinapita,mtu leo hata ukisikia kitorondo unahisi kuna kitu unamiss,zamani nilikiwa sipendi zilipendwa but siku hizi nasikikiza vizuri na kuenjoy mambo ya "GEorgina",rangi ya chungwa" we bwana nipe pesa"kasuku"

Aaaaah!

Hahaha zilipendwa oyeeee. Ujue tumekua sasa hivi. Hata miili haipo flexible kama zamani, so inabidi tu tukomae na zilipendwa kina embe dodo na kitambaa cheupe. Naionea kidogo ile "inde moniiiiiiii, inde inde" hahaha
 
Aayaaaa lile limdundo la tamala ni kwikwi, then kulikuwa na baby girl ya mad ice. Afu na kuna ile ya q chillah ilikuwa inaimbwa "yale mapenzi ulonipa jana, kesho nitarudi tena, utamu sio utamu mama, kesho nipe zaidi ya jana girl", basi hapo ni uuuuuh

Daaah, yaani mule mule. Kama tulikuwa wote vile
 
Ayaaaa niliisahauje ya dudubaya "nakupenda mpenzi usiyependa chapa". Mie ilikuwa mdundo ukianza tu, basi tutaonana ukisikia dj kazima muziki. Loooh nimemiss life lile hahaha

Alafu ghafla DJ aingizie Mabinti wa Kibongo ya BizMan...
 
Aayaaaa lile limdundo la tamala ni kwikwi, then kulikuwa na baby girl ya mad ice. Afu na kuna ile ya q chillah ilikuwa inaimbwa "yale mapenzi ulonipa jana, kesho nitarudi tena, utamu sio utamu mama, kesho nipe zaidi ya jana girl", basi hapo ni uuuuuh

daah tamala Is one of the best
 

mi nafikiri wazazi wanaogopa
watoto wao kujiunga na makundi mabaya mfano drugs users groups,Ila wazazi wengine hawana noma,mfano wazazi wa leny kravitizs they famous & rich
 

Haaaaahaaa hakuna kushake tena ni mwendo wa kuboogie down!!
 
Eno mic imepoteza wengi,wadada wamepata vina vikali usipime sababu ya eno mic,wababa wametelekeza familia kwa ajili ya kutembeza eno mic,tulizana!
 
Eno mic wa ziggy tesaga....touching the middle, touching the middle...

Naukumbuka huu wimbo.
 
Alafu ghafla DJ aingizie Mabinti wa Kibongo ya BizMan...

Jamani "nalala usingizi nawaota wao, natazama runinga nawaota wao, likipigwa ragga ragga wanacheza wao, mabinti wa kibongo sifa ziende kwao". Kwenye video yake kuna mdada ni alikuwa anacheza huyooo duuh
 
Acha tu tamala, alikuwa na ule wimbo wake mwingine NI WEWE. "Ni wewe unayenifanya nijisikie nipo juu kwenye hii dunia, (ni wewe) unayejua mpenzi wako sina fedha ukavumilia". Daaah nimekumbuka mbali mno
yaaa naumkumbuka saanaana,hardman alikuwa mkali saana,muziki wake ulikuwa ni next level
 
Jamani "nalala usingizi nawaota wao, natazama runinga nawaota wao, likipigwa ragga ragga wanacheza wao, mabinti wa kibongo sifa ziende kwao". Kwenye video yake kuna mdada ni alikuwa anacheza huyooo duuh
Noma saaana.
 
Kuna video queen au sijui vixen ....kavaa nguo za light blue dah bora tu muda unaenda
 
Yeaaaahhh nalikumbuka vizuri sana hili song na nilikuwa linaimba hivi kama sijakosea
"Enomi nakisikitasana oooohhhh !!!
Wengine wanajikongoja kama masimba ooh!!
Enomic nakisikitasana sanaa ooh !!
wengine wanajikonhoja kama masimba ooh !!
Afu jamaa linasema tena .....
" burugwa mic burungwa mic Kampala nini na niii cjuiii .......
Siyo masihara yule jamaa aliimba bwana.
Basis kuna siku likapigwa nikafanikiwa kubambia Dada mmoja weeee !!! Yule dada Cjui kama kwenye maisha take yote aliwakuruhusu tena mwanaume am_ babimbie tena maana nilimng'ang'aniaaa huku bwana abdadala kichwa wazi akiwa ndani ya VIP yangu iliyopanda mbaka maeneo ya kifuani akichomachoma tako la binti yule kutoka na kuchezaa mbaka binti yule akaanza kujishtukia yani ilikuwa balaaa, sitakuja kusahau aseee.
 
Kitambo kidogo Adam tulikuwa tunakula nae bata South Beach (Kipepeo), alikuwaga na manzi wa kizungu. Mshikaji yuko poa sana, mara ya mwisho nilipanda nae basi kutoka Arusha kuja Dar, kufika Ubungo akanipa lift ya taxi mpaka mitaa ya kati. Alisema anapiga business kwenye intertainment. Ngoja nimtafute Facebook.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…