Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Kweli vizazi vinapita,mtu leo hata ukisikia kitorondo unahisi kuna kitu unamiss,zamani nilikiwa sipendi zilipendwa but siku hizi nasikikiza vizuri na kuenjoy mambo ya "GEorgina",rangi ya chungwa" we bwana nipe pesa"kasuku"
Aaaaah!
Hahaha zilipendwa oyeeee. Ujue tumekua sasa hivi. Hata miili haipo flexible kama zamani, so inabidi tu tukomae na zilipendwa kina embe dodo na kitambaa cheupe. Naionea kidogo ile "inde moniiiiiiii, inde inde" hahaha