Msanii Ziggy Dee wa eno mic alipotelea wapi?

Mu Kampala tolya sumuuu.. jamaa alifyatua kitu kinahusika.
 
"enomaiki yazigidisha sana ouuuuu, sjui nini nanini motima ouuuu"
 
2002 aliingia rasmi kwa music na alifanikiwa kutoa nyimbo ya Eno mic ambayo alimshirikisha msanii Bob Wine wa Uganda.

.

Point of correction.
Eno Mic alimshirikisha demu mmoja aliejiita Cutie (nilisikiaga ni marehemu sasa) produced by P funk..
Nyimbo aliyomshirikisha bobi wine inaitwa Sunda...
 
Last edited by a moderator:
Baada ya hapo hakusikika tena zaidi ya kuzungumza kwenye interview kwamba atatoa album ya nyimbo 24 zenye lugha tofauti lakin hakusikika sana.

Je huyu mtu nauliza yuko wap sasa.[/SIZE][/FONT]

Baada ya Sunda alitoa nyimbo nyingine kwa jina la Doctor..

And thats when family decided to stop him from doing music because he had joined Fire Base Crew, headed by Bobi wine.

The group was claimed to comprise bad and ill manner drug addicts from the ghettos of Kamwokya..with the likes of Buchaman, Eddy Yawe RIP, Bebe Cool etc. The family flew him to the UK, and he has taken the silent lane ever since.
 
maskinii dah alafu wasanii wengi wanaozuiwa kuimba na parents wao ndo wanakua shida sana

-life iz not fea
 
"enomaiki yazigidisha sana ouuuuu, sjui nini nanini motima ouuuu"

Eno mic ya ziggy D. tesaga
Nebwengisongamu mama osiima...

Zigg D's mic aint a joke,
You'll apreciate when I push it in...!!!
 
maskinii dah alafu wasanii wengi wanaozuiwa kuimba na parents wao ndo wanakua shida sana

-life iz not fea

Yap.. Hasa wazazi wakiwa influential kwenyr public, utakoma. You can hardly live your dream.

Mama yake Navio alikubali matokeo..

Bebe cool alifukuzwa nyumbani coz kipindi anaanza kuimba baba yake alikua waziri...

And the list goes on.. Wazazi ni wachache wanaoruhusu watoto wao wafanye wakipendacho...
 
Mayooooo kipindi hicho ipigwe enomic, ikiisha kinawekwa kitu mabinti wa kitanga hahahaha weka mbali na watoto

Eeeeh wanajua kujipamba,,eeeh kwa mapozi wanatambaa,,,eeh.
Maisha yanaenda kasi sana aisee
 
Baada ya Sunda alitoa nyimbo nyingine kwa jina la Doctor..

And thats when family decided to stop him from doing music because he had joined Fire Base Crew, headed by Bobi wine.

The group was claimed to comprise bad and ill manner drug addicts from the ghettos of Kamwokya..with the likes of Buchaman, Eddy Yawe RIP, Bebe Cool etc. The family flew him to the UK, and he has taken the silent lane ever since.

Aiseeeee
Asante kwa taarifa
 
thanks for news,where mr sokoine Is ? aliimba nyimbo ya mi naona usiku usiingie,redudancy x3 limenikumbumba leo nalia napiga mayowe mtu mzima nimeumbuka...
 
Na iongezwe hapo kitu cha hardman "tamala"

Aayaaaa lile limdundo la tamala ni kwikwi, then kulikuwa na baby girl ya mad ice. Afu na kuna ile ya q chillah ilikuwa inaimbwa "yale mapenzi ulonipa jana, kesho nitarudi tena, utamu sio utamu mama, kesho nipe zaidi ya jana girl", basi hapo ni uuuuuh
 
Hahaha kuna kile cha mez b na ray c "kama vip".
Halafu dudubYa "nakupenda mpenzi".

Aiseee hizo ngoma zikigongwa nilikuwa lazima nicheze navyojijua
 
Ayaaaa niliisahauje ya dudubaya "nakupenda mpenzi usiyependa chapa". Mie ilikuwa mdundo ukianza tu, basi tutaonana ukisikia dj kazima muziki. Loooh nimemiss life lile hahaha
 
Kweli vizazi vinapita,mtu leo hata ukisikia kitorondo unahisi kuna kitu unamiss,zamani nilikiwa sipendi zilipendwa but siku hizi nasikikiza vizuri na kuenjoy mambo ya "GEorgina",rangi ya chungwa" we bwana nipe pesa"kasuku"

Aaaaah!
 
Back
Top Bottom